Dar na wakazi wake: wachaga > kimara, Wakurya > kitunda, wahaya > sinza, wapemba > ilala na kigamboni, wapi tumepaacha ?

Ujenzi wa kule ukoje mkuu
Zipo sehemu ukipita unaweza kuhesabu nyumba zaidi ya 30 zote hazijaisha zimeezekwa paa nusu na mabati au vipande vya khanga kuu kuu dirishani kama pazia tayari wameshahamia na kuna sehemu utakuta wamejenga chumba kimoja kimoja watu kama hamsini kila mtu na familia yake na bado vimejengwa kiholela njia hamna.

Viwanja vyao vinakuwaga 10×10 sijui?kule mtu akiwa na 500,000/= yake anawaza kujenga na kuhamia kwake maana mchanga upo hapo hapo kazi yake aunge unge hela ya cement fundi yeye mwenyewe na wote mtaa mzima ni kama wana akili za kufanana,Machinga wengi wa Ilala Karume na Kariakoo ndo wamejaa kule japo zipo sehemu chache za kishua
 
Wanyaturu wenzangu wako wapi

Na je wamwera wakwe zangu wanapatikana wapi
Msaada tafadhali.
Kwa sababu ya kutokushikana mikono, wanyaturu sio rahisi ukatukuta sehemu moja, Kila mtu amekuja mjini kivyake.

Tofauti na wachaga, aliyetangulia mjini akanunua viwanja sita kimara, atawaleta wengine na atawauzia hivyo viwanja.
 
Nina uwakika wamakonde mbagala yote kuanzia kwa azizi ally huku wapo kibao wamakonde ,wamakua na wayao
 
Zipo sehemu ukipita unaweza kuhesabu nyumba zaidi ya 30 zote hazijaisha zimeezekwa paa nusu na mabati au vipande vya khanga kuu kuu dirishani kama pazia tayari wameshahamia na kuna sehemu utakuta wamejenga chumba kimoja kimoja watu kama hamsini kila mtu na familia yake na bado vimejengwa kiholela njia hamna.

Viwanja vyao vinakuwaga 10×10 sijui?kule mtu akiwa na 500,000/= yake anawaza kujenga na kuhamia kwake maana mchanga upo hapo hapo kazi yake aunge unge hela ya cement fundi yeye mwenyewe na wote mtaa mzima ni kama wana akili za kufanana,Machinga wengi wa Ilala Karume na Kariakoo ndo wamejaa kule japo zipo sehemu chache za kishua
Hilo jiji kila mtu hataki kutoka
 
Back
Top Bottom