Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
Panda mohamed....
What is the most luxurious bus from Dar to Mwanza.
I wanna travel from dar to mwanza tomorrow.
Please advice.
Wote huduma zao bado ni sub-standard.Wengi ni malori yaliyopakwa rangi tu,ukikaa siti za nyuma unafika hoi.Muda wa kuwasili uko too variable kutokana na kasi ya dereva.Hawa jamaa ikitokea kampuni za Kenya za mabasi zikaanza safari ya Mwanza-Dar wataumia sana.Wamejaza wahuni,kelele na usumbufu usio wa lazima.
Tofauti ya huduma katika mabasi haya ni ndogo sana.Wengine watakwambia basi fulani zuri kwa sababu tu linakimbia sana-hebu tuambie any extra comfort service wanazotoa?
kama ni kesi ya kuchoka it is different ukitumia lucky star [zile marcopolo kama za dar express] japo mabasi ni mengi ila sumry, allys, greenstar