m ndo huwa nasafir mara kwa mara na hayo mabasi ukitaka ufike mwanza by saa 2 au 1.30 panda ALLYS ukitaka starehe na uzuri wa gari ndani kuna MURO MPYA YOUTONG HIZO gari ni bomba cna lakini utafika by saa 4 au saa 3 hayo mabasi mengine siku utakuta gari gani mana kuna mengine ni mabovu balaa kama green star,luck star, na sumri ila ucje ukapanda mohamed au najumunisa au saibaba kama unataka kulala shinyanga au kutekwa sawa....ila nakushauri mwana chukua allys hana mpinzani kwenye hii njia na hasimami vituo vingi kama mengine yeye huwa akitoka dar mwanza au mwanza dar keshajaza