Dar: Mwandishi wa habari Bollen Ngetti akamatwa na Polisi, apelekwa Sitakishari

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,630
Mwandishi wa Habari za Uchunguzi Bollen Ngetti, Bollen Ngetti, amekamatwa jioni hii na askari 3, na kupelekwa kituo cha Polisi Stakshari.

Ijumaa, Bollen Ngeti alihamishiwa katika kituo cha Polisi Buguruni, Dar es Salaam akituhumiwa kumtukana mke wake.

FB_IMG_1565289812994.jpeg


Bollen anasemekana kuwa na Diploma ya Uandishi wa Habari na kuwa alikuwa Mhariri wa Gazeti la Sauti Huru
 
Back
Top Bottom