Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

Nakadori

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
8,781
20,937
Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi.

Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa polisi.

Jamani mkiachwa achikeni, mkitemwa kubalini kutemeka.

-----

Msichana aliyejulikana kwa jina la Tina mkazi wa eneo la Mbezi Beach, Jijini Dar es Salaam amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma nyumba ya anayedaiwa kuwa alikuwa mpenzi wake aitwaye kwa jina moja la Kelvin mkazi wa Mbezi Bondeni.

Nyumba.jpg
 
Wachagga acheni kuwabambika jamaa zetu Wakurya Matukio. Wakati wa Korroso anajitwanga Risasi mkaleta inshu ya Wambura wa Sinza oooh naye anatishia watu Bastora.

Leo mmekuta na Mkurya hewa wa Mbezi kuchoma nyumba ili azibe aibu ya NEEMA MUSHI kumchoma Dogo Zungu.

Naona wiki ijayo mtakuja na FWAMBA la CHACHA kumtapeli Waziri wa Ardhi akijifanya Katibu Mwenezi wa CCM. Waaacheni Wakurya wapumue jamani
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom