Hivi wewe umewahi kusafiri nchi za wenzetu uone usafiri ulivyo ukishuka toka mikoani, dala dala zetu zina nafasi ya mtu mwenye begi au mabega.Mkuu hujawahi kusafiri?.
Mikoa mingine baadhi kuna huu utaratibu wa abilia wote kushukia kituo kikuu, isipokuwa kwa masaa ya usiku ambapo huduma ya usafiri mwingine as daladala haupo.
Pia hiyo siyo sheria ya mkuu wa mkoa NO ni utaratibu upo kwenye transportation contract and agreements, hivyo mkuu wa mkoa mnampiga jiwe kimakosa.
Asubuhi kama unaanzia gongolamboto au kigamboni hakuna shida ila basi lifike pale Magufuri bus station then ondokeni mnakokwenda, jioni pia ingieni pale shukeni wote, chukua tax, bajaj, toyo au matatuu then nenda kwa nyumbani kwako.
Yuko sahihi 100%Asema utaratibu wa Sasa ni rahisi ata kusafirisha wahamihaji haramu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha kuanzia Sasa Mabasi yote yanashusha na kupakia abiria kwenye kituo kikuu Cha Mabasi Cha Mbezi Louis.
RC Makalla amesema hayo wakati alipotembelea kituo hicho na kusikiliza kero na changamoto mbalimbali za Wafanyabiashara kituoni hapo.
Amesema Serikali inatambua kituo kimoja pekee Cha Mabasi ambacho ni Mbezi na uwekezaji uliofanyika ni mkubwa hivyo hakuna maana Kama kila mmiliki wa mabasi atakuwa na kituo chake kupakia na kushusha abiria.
Aidha RC Makalla ameelekeza uongozi wa Stendi hiyo kuweka utaratibu wa baadhi ya Mabasi kushusha abiria kwenye eneo la kulaza magari ambapo kuna Banda la Mamalishe ili kuchochea biashara.
Kuhusu changamoto ndogondogo zilizojitokeza kituoni hapo, RC Makalla ameelekeza Viongozi wa Halmashauri ya Ubungo na kituo kuzipatia ufumbuzi wa haraka.
Mhe.Makalla pia ameelekeza Wafanyabiashara kituoni hapo wapangwe Katika utaratibu mzuri na bora kuendana na hadhi ya kituo.
Wakati huohuo RC Makalla ametembelea Soko la Machinga lililopo pembezoni mwa Stendi hiyo na kutaka Wafanyabiashara wote wahamishiwe sokoni hapo na uchunguzi ufanyike kwa wale waliopatiwa vibanda kwa upendeleo na kujuana ambapo Wafanyabiashara hao wamesema wapo tayari kuhamia sokoni apo na wamechoka kufanya biashara barabarani.
Amemuelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kuweka utaratibu wa Daladala kushusha abiria sokoni apo ili kuchagiza biashara.
View attachment 1846949View attachment 1846950View attachment 1846951View attachment 1846952View attachment 1846954
Mbunge wa Gairo aliongea kuhusu hiyo changamoto ya hizo stendi kuu, abiria utalazimika kukodi bajaji au pkpk kufika mwizho wa safari yakoAu kwa mfano nimetoka Arusha na BM kufika Mbezi kituoni limeshusha abiria na likitoka hapo linaelekea kwenye ofisi zao zilizopo Shekilango,nami naishi Manzese.
Je hawaruhisiwi kuja kunishusha Shekilango?.
Ni lazima nishukie Mbezi?.
Asema utaratibu wa Sasa ni rahisi ata kusafirisha wahamihaji haramu.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makalla amelielekeza Jeshi la Polisi kuhakikisha kuanzia Sasa Mabasi yote yanashusha na kupakia abiria kwenye kituo kikuu Cha Mabasi Cha Mbezi Louis.
RC Makalla amesema hayo wakati alipotembelea kituo hicho na kusikiliza kero na changamoto mbalimbali za Wafanyabiashara kituoni hapo.
Amesema Serikali inatambua kituo kimoja pekee Cha Mabasi ambacho ni Mbezi na uwekezaji uliofanyika ni mkubwa hivyo hakuna maana Kama kila mmiliki wa mabasi atakuwa na kituo chake kupakia na kushusha abiria.
Aidha RC Makalla ameelekeza uongozi wa Stendi hiyo kuweka utaratibu wa baadhi ya Mabasi kushusha abiria kwenye eneo la kulaza magari ambapo kuna Banda la Mamalishe ili kuchochea biashara.
Kuhusu changamoto ndogondogo zilizojitokeza kituoni hapo, RC Makalla ameelekeza Viongozi wa Halmashauri ya Ubungo na kituo kuzipatia ufumbuzi wa haraka.
Mhe.Makalla pia ameelekeza Wafanyabiashara kituoni hapo wapangwe Katika utaratibu mzuri na bora kuendana na hadhi ya kituo.
Wakati huohuo RC Makalla ametembelea Soko la Machinga lililopo pembezoni mwa Stendi hiyo na kutaka Wafanyabiashara wote wahamishiwe sokoni hapo na uchunguzi ufanyike kwa wale waliopatiwa vibanda kwa upendeleo na kujuana ambapo Wafanyabiashara hao wamesema wapo tayari kuhamia sokoni apo na wamechoka kufanya biashara barabarani.
Amemuelekeza Mkuu wa Wilaya ya Ubungo kuweka utaratibu wa Daladala kushusha abiria sokoni apo ili kuchagiza biashara.
View attachment 1846949View attachment 1846950View attachment 1846951View attachment 1846952View attachment 1846954
Should be stupid of the highest order, na inabidi to question elimu yake.Yuko sahihi 100%
Kati ya wajinga wa chadema wew ni wa kwanzaKwishney
Huyu nae atapita kama makonda tu.Sasa Mheshimiwa Makalla, mfano: sisi tunaoishi Mbagala tumepanda basi la kutoka Mtwara au Songea, ina maana tufike Mbezi Louis tushuke halafu tutafute daladala ya kurudi Mbagala?
Ukumbuke mabasi mengine yanaingia Dar usiku.
Haya mateso yote ya nini?
Hata hapo Mbezi ni vurugu tupu. Sijui tunakwama wapi! Ndio kusema wameshindwa kabisa kuweka utaratibu mzuri utakao wawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao bila kuwa adha kwa abiria?Shekilango palishachafuka
Kituo cha Dodoma walau kina afadhari! Pale Mbezi Wale wapiga debe wanaokugombania kama Nzi upande Bus wanalolisupport ni kero ambayo mimi kama mimi inanikwaza sana kila nikiwa pale.Hao mama Ntilie wanaoalazimisha watu wakale kwao mazingira ni hatarishi kweli pamoja na wale wanaouza Nyama ugali bure pale nje ata sijui kama zile nyama zimekaguliwa na mabwana afya na ni nyama zinazoataili liwa na binadamuHata hapo Mbezi ni vurugu tupu. Sijui tunakwama wapi! Ndio kusema wameshindwa kabisa kuweka utaratibu mzuri utakao wawezesha wafanyabiashara kufanya shughuli zao bila kuwa adha kwa abiria?
Ndugu Makala anapaswa kufahamu kuwa Dar es Salaam ni kubwa na kinachofanyika ni kwa wenye mabasi kuboresha huduma na kuwaondolea abiria adha ya usafuri na double costs kwa kuwasogezea huduma at least karibu na maeneo wanayoishi. Vilevile atambue kuwa mapato yanayopatikana maeneo mengine nje ya kituo cha Mbezi yanaingia ktk mkoa wake Vilevile. Kuhusu usalama ni jukumu la polisi kuhakikisha usalama wa raia sehemu zote. Hivyo kwa ujumla wake sioni mantiki ya tamko hili.Asema utaratibu wa Sasa ni rahisi ata kusafirisha wahamihaji haramu.