Dar: Mfanyabiashara Mohammed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

Tycoon kama MO anakuwa na ulinzi binafsi. Tena wa makomandoo kabisa, siku zote mtekaji akishazingilwa haijalishi ana kifaru au SMG lazima ata surrender tu. Maana inayomuua mtu sio ile siraha, la hasha ni risasi iliyondani ya siraha, tena yenye ukubwa wa kipenyo cha sm 5!!
Unabwabwaja tu, Rais wa Afighanstan alishafanyiwaga ambush akiwa chini ya ulinzi mkali na ni Mungu tu haikuwa siku yake ya kifo msafara wa Rais uliwakimbia Taliban.
 
Habari nzito kama hii,abgekuwa nani ndo ingekuwa nyepesi?

Zakaria taarifa yake ilitolewa na polisi?

Ya Roma mkatoliki ilitolewa na Polisi?

Ya Masoud kipanya ilitolewa na Polisi?

Ya Ben saa nane ilitolewa na polisi?
Ya Tundu Lissu ilitolewa na polisi?

Ya Hussein Bashe na Msukuma Dodoma ilitolewa na Polisi???

Nguvu ya social networks ni kubwa sana,kama kila habari ingesubiriwa kutolewa na polisi,hasa habari kama hizi,basi yote hayo hapo juu,kamwe tusingeweza kuyajua!!!
Usipoteze muda mkuu na huyo mtoto wa kahaba
 
Mambosasa anavideo footage kua ni wazungu na kadhibitisha bila kutia shaka ama kaona rangi tu akakutupuka kua mi wazungu??

HOPEFULLY ANA CONCLUSIVE EVIDENCE KUWA NI WAZUNGU ; KWANI MTU MWEUSI ANAWEZA KUVAA MASK AKAONEKANA MZUNGU!!! UTANDAWAZI UMEWAFANYA BONGO CRIMINALS KUWA VERY SOPHISTICATED.
 
Kule Tarime waliokwenda wamejipanga tena wakiwa wengi na bunduki za kutosha lakini yule mfanyabiashara Zakaria aliwatangwa Risasi mpaka wakapagawa, njia ni kuishi kininja tu ukiona wasiojulikana anajihami kininja kwa kasi kubwa
Inahitaji moyo wa ujasiri mkuu,mambo yakienda tofauti tu your gone,zakaria aliwaweza sana
 
Wanaotekwa ni wengi ila kibongobongo msiba mzito ni wa tajiri.
Nawaza hapa lengo la mtekaji ni nini hasa?
Huenda polisi wamemshikilia kwa sababu wanazozijua wao.

Ben saa nane hajawahi kutafutwa wala watekaji hawatafutwi.mliompiga lisu wala hawasakwi ila MO watasakwa nchi nzima, iko siku mungu atakuwa athuman na watashaa watekaji
 
Katika ukusanyaji wa ushahid/taarifa it is scientific procedure kuanzia kuanza kuchunguza na ni lazima wakusanye taarifa zile zilizoonekana katika eneo la tukio hayo mengine yatakuja tu kama ni wahindi au wachina ila kwa sasa walionekana pale ni whiteman so acha vitengo vya instigation wafanye kazi yao waza kisomi
How can you recognise the race of someone in a mask? Kama rangi sawa lakini cha race siamini mpaka pale watudhihirishie bila mashaka..
 
Yule mfanyabiashara kule Tarime yeye aliwapiga Risasi bila msaada wa bodyguard iweje yeye ashindwe kujihami?
Unaambiwa Mo hata cha Moto akai nacho. Mara nyingi anakuwa nayo Dreva wake. Mo ni tajiri asiye na Makuu. Sijui Mwarabu wa wapi huyu jamani?
 
Back
Top Bottom