Ni Furaha kwa watanzania walio wengi kupatikana kwa Mo pia ni kushukuru mwenyezi mungu kupatikana kwa Mo akiwa salama
Kwanza mods naomba Uzi wangu uheshimike maana ni maoni ya watanzania walio wengi
Bila kumumunya maneno,serikali hahusiki katka utekaji wa Mo lakin kuna kikundi kinafanya hii kazi ya utekaji chini ya viongozi waliopo serikalini
Kwa mazingira yaliyopo sasa hadi Mo kupatikana kuna watu waliomo serikalini wanahusika kwenye hili tukio
Mazingira,gari kukimbia dakika 15 na kuishia kwenye chumba maalumu
Mo kupatikana kwenye mazingira yenye ulinzi Gymkhana na barabara ambalo limetumika kumfikisha hapo aliko patikana
Kutekwa kwa Roma na mpaka sasa hajawahi kusema watekaji ni nani,na kuna kiongozi alitoa kauli siku ya kupatikana kwa Roma
Baada ya kuandamwa na kodi pale bandarini kibinadamu mhusika hakujisikia vizuri na ukweli ni kwamba ile kodi ilimshushia heshima kuonekana kuwa hana hela ya kulipia mzigo wake
Alichokifanya ni kumteka Mo ili aombe hela awe na hela,yule Kijana anataka sifa na anataka asionekane kuwa hana hela
Lakini imesanuka,movie imefeli kabla ya kukamilika
Kama alitaka kuteka kituo cha Clouds kwa silaha nzito kwa nini asihusike kwenye hili?
Ombi kwa Rais, mwanaye anaichafua serikali, achukue hatua
Asilimia 90 kwenye mitandao,na mitaani,kura za ndio zinaenda kwa mtu huyu