Dar: Mfanyabiashara matatani kwa Kumhonga Polisi Tsh. Milioni 10

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,026
1,622
Mfanyabiashara Hawa Ismail, Mkazi wa Segerea amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kivukoni kwa kosa la kutoa hongo ya Tsh. 10,000,000/= kwa Askari Polisi kama kishawishi ili aweze kumsaidia Shemeji yake aliyekuwa amekamatwa kwa kosa la Unyang'anyi wa kutumia silaha.

Mshtakiwa amekana shtaka na kudhaminiwa baada ya kutimiza masharti ya dhamana.

Aidha, Kesi imeahirishwa hadi Novemba 16, 2023 itakapotajwa kwa ajili ya usikilizaji wa hoja za awali.

Chanzo: TAKUKURU
 
Kesi za magumashi hizi.....kuonesha kwamba wapo
 
Back
Top Bottom