Wakuu nimedhamiria kusafiri kutoka DAR kwenda MBEYA kwa kutumia TOYOTA IST, lengo ni kufika MBEYA kabla ya saa saa moja jioni. Naomba kujuzwa vitu vya kuzingatia ili kufanikisha safari hii kama:
- Muda wa kutoka Dar
- Mwendokasi wa gari (Kilometer per hour)
- Maeneo yenye tochi
- Maeneo na muda wa kupumzika
- Vitu vya kuchukua vya usalama (safety gear)
- Kiasi cha petroli kitakachotumika