Naomba kujuzwa kiasi cha lita za petrol Dar mpaka kyela, cc1990

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
603
1,000
Tunataka kusafiri na toyota noah,old model cc1990 kutoka dar to kyela mbeya, tuandae kama sh ngapi ya wese na vitu gani vya kuservice kabla ya safari na speed iwe ngapi ili kuserve mafuta?

Mabingwa msaada tafadhali.
 
ISO M.CodD

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
6,012
2,000
Yalinishinda haya...

Ukiendesha maximum 90kmph huenda ukatumia average ya 15kmpl. Kwa safari ya 1000km utatumia lita67

Ukimwaga moto ukafaidi uumbaji wa mjapani utatumia say 10kmpl. Kwa safari hiyo hiyo utatumia lita100.

Tofauti ni lita 33. Around 70k TZS. Uko tayari uteseke for 1000km kwa ajili ya pesa hiyo?
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,656
2,000
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.

2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.

3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.

4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.

5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
 
Hazchem plate

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
10,547

Gari ni machune haihitaji kupumzishwa As long as kila kitu kinaganya kazi Sawa. Unaweza Tembea hadi South afrika bila kupumzisha gari, ni wewe tu na gari lako.
 
profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
603
1,000
Yalinishinda haya...

Ukiendesha maximum 90kmph huenda ukatumia average ya 15kmpl. Kwa safari ya 1000km utatumia lita67

Ukimwaga moto ukafaidi uumbaji wa mjapani utatumia say 10kmpl. Kwa safari hiyo hiyo utatumia lita100.

Tofauti ni lita 33. Around 70k TZS. Uko tayari uteseke for 1000km kwa ajili ya pesa hiyo?
naenda bush hiyo hela itasaidia mambo mengi sana 70,000/ kwa kijijini kubwa sana...
 
profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
603
1,000
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.

2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.

3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.

4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.

5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
ipumue kwa dakika ngapi mfano..
 
fabinyo

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
2,742
2,000
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.

2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.

3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.

4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.

5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
Umesahau tairi zilizo hai,muhimu sana.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,129
2,000
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.

2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.

3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.

4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.

5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
Swali la msingi kiasi cha mafuta hujajibu!
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,049
2,000
1. Kama mtasafiri nonstop atleast muwe madereva wawili kupokezana.

2. Ila muipe gari nafasi ipumue ata kila baada ya kilometa 300 au kila baada ya kuendesha masaa 4.

3. Service ya oil, ATF, brake pads, coolant, tyres na taa muhimu.

4. Vibali viwe valid, triangle, fire extinguisher, spare tyres na spana za muhimu.

5. Cha mwisho tafuta music kwenye simu uinjoi na msishahau chaja. Huwezi jua.
Ipumzishwe kwanini? Kwani gari sio gari tena ila gugali?
 
JimmyKB

Senior Member
Feb 27, 2014
114
225
Yalinishinda haya...

Ukiendesha maximum 90kmph huenda ukatumia average ya 15kmpl. Kwa safari ya 1000km utatumia lita67

Ukimwaga moto ukafaidi uumbaji wa mjapani utatumia say 10kmpl. Kwa safari hiyo hiyo utatumia lita100.

Tofauti ni lita 33. Around 70k TZS. Uko tayari uteseke for 1000km kwa ajili ya pesa hiyo?
ni vizuri kwenda mwendo wa kawaida ukizingatia Noah ni gari ya kifamilia wanaosafiri huenda watakuwa wengi. Usalama muhimu zaidi
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom