Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Dar: Makonda atangaza neema kwa watumishi

Safi sana huyu mkuu wa Mkoa anafanya kazi sana kwa kweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Hakuna mkuu wa Mkoa anayepiga kazi kama Makonda kila la kheri.

Hiyo kwetu ni kick kama kick nyingine na ni sehemu ya kujikosha na kujipendekeza ili aonekane ni mtu safi wakati ukweli uko wazi. Kama kweli ni hivyo kwanini mambo hayo yasifanyike kwa watumishi wa umma nchi nzima? Iweje yeye tu aweze kufanya hivyo wakati serekali ni moja?
 
Kama tungeuziwa wote sawa, lakini kama vinakuwa reserved kwa watumishi fulani ilhali kodi tunalipa wote basi hiyo ni siasa. Tanzania ni moja na kila mwananchi ana haki sawa ndani ya mipaka ya nchi. Hizi kanda maalum za kufanyia siasa zitatuacha pabaya.
 
Baada ya kuona kuwa ameshawapa mtihani watumishi wa umma na wengi hawamtaki ila wa nafanya kazi ili tu maisha yaende sasa kamtuma huyu aje na staili ya kuwapoza,atafanya kila analofanya lkn moyoni mwa watumishi wa umma wameshajeruhiwa na matusi na manyanyaso
 
Safi sana, hivi viwanja viko wapi? cha msingi watakaopisha huu mradi walipwe stahiki zao. Wasiwasi wangu itachochea ongezeko la rushwa, kila mtu atataka amalize ujenzi ndani ya miaka miwili au mitatu na ajenge bonge la house aje afungue bar akistaafu,
 
Hii nchi kweli inaendeshwa kinyume na maumbile kwa hiyo watumishi wa mikoa mingine ndo basi yaani huu utawala cjui shetani ndo Mshauri mkuu! Yaani baba unatangaza neema kwa baadhi ya watoto kisha unajisifu pathetic!
 
Safi sana najua wapo watakao ponds tu.na hapo ndilo unashindwa kumuelewa mtanzania
 
Hii nchi kweli inaendeshwa kinyume na maumbile kwa hiyo watumishi wa mikoa mingine ndo basi yaani huu utawala cjui shetani ndo Mshauri mkuu! Yaani baba unatangaza neema kwa baadhi ya watoto kisha unajisifu pathetic!
issue hapa ninkwamba hao wengine wamekosa ubunifu kwani makonda anawazuia wao wasitafute wadau wakawauzia viwanja pia?
 
Back
Top Bottom