Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,722
- 6,593
Katumwa huyu mleta madaHizo ni hujuma
Katumwa huyu mleta madaHizo ni hujuma
super sami tatizo siti zimebanwa. angalau leo luxuryPanda super sami dar mwanza
Mabasi ya DAR - LUX mengi ni Luxury ya 2x2Cyo kwenda nakugeuza kwa maana ya mchana mmoja, nikwamba mfano gari linatoka Mza asbh j'mosi linafika dar saa saba usiku afu kesho yake asbh gari hilo hilo lirudi Mza huko ndiko namaanisha, lkn pia muda wa mabasi kuondoka stendi ni saa 12 kamili na abiria wanakuwa hapo saa moja kabla ya muda, hivyo kukaa mpaka saa moja kasoro unaweza kuiona taharuki niliyosema
Kama le profeseliU
Unatumika si bure!
ulisha safiri dar to mwanza??yaan gari lifike saa sita usiku saa kumi na mbili liwe njiani tena?service linafanyiwa saa ngapi.be seriousy aseeCyo kwenda nakugeuza kwa maana ya mchana mmoja, nikwamba mfano gari linatoka Mza asbh j'mosi linafika dar saa saba usiku afu kesho yake asbh gari hilo hilo lirudi Mza huko ndiko namaanisha, lkn pia muda wa mabasi kuondoka stendi ni saa 12 kamili na abiria wanakuwa hapo saa moja kabla ya muda, hivyo kukaa mpaka saa moja kasoro unaweza kuiona taharuki niliyosema