PrinceNsabho
Member
- Oct 27, 2015
- 34
- 27
- Thread starter
- #41
Unafiki unaujua? K nnUmafiki tu ndiyo mnajuwa
Unafiki unaujua? K nnUmafiki tu ndiyo mnajuwa
....qwi qwi qwi qwi...umekula za uso umepanic unaanza matusi!Unafiki unaujua? K nn
Tatizo unafikiria kinyumenyume nilikushawishi wewe au aliyeni quote au ashki majinuni..?Ulijaribu kutushawishi kuwa Mabasi ya Najmunisa ni mabaya nimekujibu sawasawa na kauli yako mbovu na nimekupa best reason ever.
Imekupasa uwe na adabu.
Hivi mbna madereva wa dar lux huwa wanaacha kazi sana? Yaani kila siku unakuta madereva wapyaWakuu hii mada yenu nimeifikisha kwenye group letu la wana dar lux(blue) whatsapp kwa kuwa wahusika wako kule nahakika watatupa majibu mazuri na ni watu wasio ficha na pia madereva wao pia wako kule watatoa majibu juu ya hii tuhuma
Kamuulize baba yako ashki ndio nini jibu lake utuletee.Tatizo unafikiria kinyumenyume nilikushawishi wewe au aliyeni quote au ashki majinuni..?
umeona eehh!!Hebu fafanua vizuri Dar-Mwanza wanaenda nakugeuza? Unajua umbali wa kutoka Dar-Mwanza? Au umemaanisha madereva hawabadilishani/hawapokezani ruti zao?
Unatumika si bure!Mabasi ya DAR LUX yafanyayo safari zake ktk baadhi ya mikoa hapa nchini imejikuta ikidharirisha abiria wake baada yakuonekana inapendwa na abiria wengi. Uongozi wa compuni hiyo umejikuta unaingiwa tamaa nakujikuta inalazimisha madereva wake kufika nakugeuza siku hiyo hiyo bila kujali umbali wa safari anayoenda ( yaani go and return) bila kupumzika kwakuwa wapo wawili ktk kila gari. Hali hiyo leo imesababisha Dereva kusinzia mpaka saa moja kasorobo nakuibua taharuki kubwa kwa abiria wa gari Na.2 la Dar-Mza.Hizo ni taarifa nilizozipata kwa mmoja wa wafanyakazi wakampuni hiyo ambae chonde ameomba kuhifadhi jina lake. Kwa mujibu wa bwana huyo ameongeza kusema hata ujira wa madereva wake hauendani na umbali wa safari za Mza tena kwa kwenda nakugeuza.Tuwaombe mamlaka zinazohusika na safari za mabasi kuchunguza hilo swala kwakuwa ni la hatari kwa usalama wa abiria na madereva wake
Asante kwa kunilegezea mwili bahati mbaya mi si mdau wa mambo yakoKamuulize baba yako ashki ndio nini jibu lake utuletee.
Ukome! narudia Ukome kutumia maneno yanayoivunjia heshima hadhira.Asante kwa kunilegezea mwili bahati mbaya mi si mdau wa mambo yako
Vitu ambavyo sio realistic. Hata Dar-Kilimanjaro huwezi kwenda na kigeuza.
Kumbe ukishikwa panauma..usianzishe ugomvi wakati huweziUkome! narudia Ukome kutumia maneno yanayoivunjia heshima hadhira.