Anasema hajarithi, baba yake alikataa kumpa pocket money wakati anasoma Canada kwa kudai kuwa ameshakuwa mtu mzima ajifunze kutafuta pesa. Hapo ndio akaanza kufanya biashara ya kusafirisha mitumba kutoka Canada kuja Bongo.
Hizi stori za matajiri jinsi walivyofanikiwa zinaingia akilini kwa matajiri wenyewe.