Isitoshe kusema hii comment ndio bora zaidi hadi sasa ndani ya huu mwaka!!Ukiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.
Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.
Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.
Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.
Authentic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukopo.
Mimi sijawahi kopa Bank hat 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.
Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow lf cash ni nzuri.
Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeone fursa.
Machungwa gani umeshaanza unazi sio?Dar lux kipindi hko cha DRR alafu chuma aisimamie chris dar-mwz, machungwa yalikua yanaoza mapema tu
Mmiliki wa Lake Energies, Ally Edha Awadh hajawahi kufanya biashara ya mabasistory za kitaa walikua wanasema mmiliki wa hizi chuma alikua ni Lake Oil labda aliona hazimlipi akaona aendelee na biashara zake za awali.
Basi ni story za kitaa mkuu , watu tulihusianisha biashara za watu na rangiMmiliki wa Lake Energies, Ally Edha Awadh hajawahi kufanya biashara ya mabasi
Hapa mwishoni kuna point ngoja niichukueUkiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.
Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.
Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.
Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.
Authentic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukopo.
Mimi sijawahi kopa Bank hat 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.
Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow lf cash ni nzuri.
Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeone fursa.
👍👏🙏💐Ukiwa na biashara inayoitaji investment ya 10Bn, halafu wewe una 12 Bn, kuwa makini sana.
Unaweza u kafanya masifa makubwa bila sababu, na yasiongeze sales.
Huyu bwana alianza kwa sifa sana, na investment kubwa, ila hakuwekeza kwenye sales.
Nakumbuka kupanda ma Bus yake twice, yakiwa na watu chini ya 25, nikasema he will fail.
Authentic growth is a key in business, sio kwa sababu una access na mkopo ukopo.
Mimi sijawahi kopa Bank hat 2m, ila nishawahi fuatwa na Bank wakitaka wanikopeshe 200m.
Hii ni baada ya kuona biashara yangu inaenda na inflow and outflow lf cash ni nzuri.
Huwezi chukua mkopo sababu umefuatwa na Bank, chukua sababu umeone fursa.
Yeah stori za mtaaBasi ni story za kitaa mkuu , watu tulihusianisha biashara za watu na rangi
Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Na wanazidi kushusha vyuma vipya. Wakongwe wengine wote walishatupa vitauloNimesema kwenye uzi mwingine, I'll c&p here:
Biashara ya mabasi ni biashara pasua kichwa kuliko zote.
Scandinavia iliyofanya Mapinduzi kwenye hii sekta ilikufa kifo Cha mende.
Hood imekufa.
Sumry chali.
Sauli yupo hoi siku zake zinahesabika, Achimwene got him in the headlock.
Dar express, Dar Lux, Rungwe waliokuwa powerhouse kwenye hii sekta wote wapo hoi. Etc etc
Turnover kwenye hii sekta ni kubwa mno. Kila miaka miwili wanakuja wengine na kupotea kama upepo household names.
Utasema usimamizi na sababu zote ila sio rahisi kusema hao wote hawajui wanachokifanya. Fanya hii biashara kama unataka kufukia pesa zako.
Ww ni team katarama sio?Dar lux kipindi hko cha DRR alafu chuma aisimamie chris dar-mwz, machungwa yalikua yanaoza mapema tu
Mnazi wa Katarama huyoWw ni team katarama sio?
Abood na Shabiby ndio wakongwe pekee waliobaki, zaidi ya miaka 25 kwenye game. Wakongwe wengine wote walishatupa vitaulo