Dar kupata huduma ya Internet/Wi-Fi bure

Mkuu na mm nielekeze hiyo hdmi unaungaje kwa simu
Hdmi huwezi kuunga kwenye simu, ni cable inatoka kwenye pc kwenye tv baadhi simu zinazo cable za HD Lakini sidhani kama inawezekana kuweka kwenye tv na ukatazama kama kutumia pc
 
Kwenye pitapita zangu mtaani huku Wi-Fi ya simu yangu ikiwa ON,kuangalia kwenye screen,nikaona kuna Wi-Fi ya hotel flani iko non-private,nikaanza kutumia internet ya bure,nilidownload file kama la 30MB,siku za mbeleni kwenda tena kutumia Wi-Fi ya bure,nikakuta imewekwa kuwa private,nafkiri walibumburuka.
Mikoa mingine hawajui kabisa jinsi ya kutumia internet ya Wi-Fi.
 
Mm mwenyewe sijuagi kabisa kutumia wifi mkuu.naomba nielekeze
 
Eti mikoa mingine hawajui kutumia internet ya WI-FI! Mkoa gani? Sema "watu wengine" sio mikoa!
 
Natumia Mobro sasa DSTV watanisahau ka?? isa live kwenye simu HDMI cable connection direct to my TV Yehuuuuuuuu

The Dogs ow War
Kwa hiyo utakuwa unaenda na tv yako hadi kwenye hayo maeneo yatakayokuwa na free WIFI
 
Eti mikoa mingine hawajui kutumia internet ya WI-FI! Mkoa gani? Sema "watu wengine" sio mikoa!
Huku mkoa wa Shinyanga karibia watu wote hawajui kutumia internet ya Wi-Fi,ndiyo maana nikasema mikoa mingine.
Ila nimebugi step.
 
Vijana watakesha kuangalia Movie za ukweli ukweli zisizo na Maigizo ukiona Mtu anasuguliwa basi ni kikweli kweli!
 
Kwenye pitapita zangu mtaani huku Wi-Fi ya simu yangu ikiwa ON,kuangalia kwenye screen,nikaona kuna Wi-Fi ya hotel flani iko non-private,nikaanza kutumia internet ya bure,nilidownload file kama la 30MB,siku za mbeleni kwenda tena kutumia Wi-Fi ya bure,nikakuta imewekwa kuwa private,nafkiri walibumburuka.
Mikoa mingine hawajui kabisa jinsi ya kutumia internet ya Wi-Fi.
Mikoa mingine ndiyo ipi hiyo wasiojua Wi-Fi? Hivi unaamini hata Dar kuna watu lukuki ukiwapa Techno P5 hawajui hata pa kuanzia? Tofauti ya ushamba na kutojua ni ipi? Hata New York kuna watu hawajui kuendesha baiskeli! Acha ushamba
 
Ha
Huku mkoa wa Shinyanga karibia watu wote hawajui kutumia internet ya Wi-Fi,ndiyo maana nikasema mikoa mingine.
Ila nimebugi step.
Hata mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,mkurugenzi,afisa elimu nk pia. Hawajui kutumia? Ndugu yangu amesoma IT hukohuko shinyanga! Na amemaliza na wanafunzi wengine kibao! Wote watakua hawajui Wi-FI?
 
Kwa hiyo utakuwa unaenda na tv yako hadi kwenye hayo maeneo yatakayokuwa na free WIFI
Mkuu Tech imeshafika Mbali sana kuna local Antena zinavuta mawimbi hadi ulipo so ni kujiset tu.. hata hivyo naishi mitaa ya kati tu.
 
Ha

Hata mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya,mkurugenzi,afisa elimu nk pia. Hawajui kutumia? Ndugu yangu amesoma IT hukohuko shinyanga! Na amemaliza na wanafunzi wengine kibao! Wote watakua hawajui Wi-FI?
WI-FI NI Shemeji wa kike wa Dada zako😀😀😀
 
Nitakapoanza kuitumia hiyo Wi-fi ndio nitaamini lakini sio hizi porojo za Viongozi wetu!
 
Mm mwenyewe sijuagi kabisa kutumia wifi mkuu.naomba nielekeze
UTANGULIZI.
Siyo kila sehemu kuna Wi-Fi,sehemu nyingine hazina Wi-Fi.Utajua kama hii sehemu ina Wi-Fi kwa kuona kialama cha Wi-Fi kwenye screen yako,kujua hii sehemu kama ina Wi-Fi au haina lazima uturn Wi-Fi on,ikishakuwa ON hapo ndiyo utajua kama hapa kuna Wi- Fi au hakuna.Sehemu isiyo na Wi-Fi hautaona kialama cha Wi-Fi,na sehemu yenye Wi- Fi utakiona kialama cha Wi-Fi.Sehemu zenye Wi-Fi nyingi ni mijini,yaani stendi za daladala,kwenye maofisi,mahoteli,migahawa n.k,ili mradi iwe mjini.
Baada ya kufika mjini ukiwasha Wi-Fi yako usikae kitako sehemu moja,unaweza kata tamaa kwamba nimeenda mjini nikawasha Wi-Fi halafu sijapata Wi-Fi,kumbe kosa ni la kwako la kukaa kitako sehemu moja,jaribu kutembea barabarani mjini pembezoni mwa maofisi,stendi,mashule,mahoteli.Sasa ukishakuwa unatembea mjini barabarani,hakikisha unaangalia kwenye screen yako iliyo na Wi-Fi on,hapo utaona vialama vya Wi-Fi,kuna Wi-Fi nyingine private,hizi kuzitumia huwezi kwa sababu lazima uwe na password ya hiyo Wi-Fi,utazijuaje private Wi-Fi?,zenyewe zinakuwa zina vikufuli.Wi-Fi nyingine ni public Wi-Fi,hizi ndiyo unaweza kuzitumia,utazijuaje?,zenyewe zinakuwa hazina alama ya vikufuli,maana yake hazina haja ya password.
JINSI YA KU-TURN ON Wi-Fi
Nenda settings,halafu nenda Wi-Fi,ukishakuwa kwenye Wi-Fi chagua options,halafu enable on.
UNAANZAJE KUTUMIA Wi-Fi?
Ukiishaichagua public Wi-Fi unayotaka,kwa simu za touch,long press hiyo Wi-Fi,itakuja options,halafu chagua connect Wi-Fi.Kwa simu za button,chagua options,halafu connect Wi-Fi.
N.B: Wi-Fi nyingine vifurushi vinakuwa vimeisha(nimetumia lugha hiyo ili nieleweke),kwa hiyo kifurushi kikiisha hautoperuzi internet hapo,itaload mpaka itakata yenyewe,ukiona hivyo kwenye hiyo Wi-Fi achana nayo tembea kwenye Wi-Fi nyingine.
Enjoy Wi-Fi
 
Kuna uwezekano yule malaika wa kufunga social media ashuke kipindi hiki
 
Back
Top Bottom