DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

DAR: Kuna milipuko inasikika katikati ya Mji, kuna nini?

ikhlas

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
1,097
Reaction score
1,432
Mida hi ya ucku naskia milio mfano wa jengo linalo ungua moto au kama risas au mfano wa mabomu....Walio karibu watujuze 12:05pm.....kina happen in milio tuuuuu
Hamna mabomu wala risasi ni fataki zinapigwa na wahindi yapo kwenye sherehe zao sema hayo mafataki yana vishindo vikubwa na mwanga wa kutosha

Kwa upande mwingine nadhan itakuwa kero kwa watu wa maeneo ya karibu maana usingzi hauji kabsa kwa kelele hizi.


kuna sauti ya mizinga na mabomu mahali nilipo mimi(kinondoni) naisikia inatokea katikati ya jiji maeneo ya kariakoo, ilala au magomeni
kuna mtu yuko Town kanipigia simu kuniambia hivyo. kwenye simu wakati tutaongea nilikua nasikia milipuko. mwenye kujua kuna nini atupe taarifa zaidi

========

Leo ni sherehe za kihindi inaitwa diwali ni fataki hizo zinazolia mi niko kariakoo nashindwa hata kulala wanapiga mafataki mazito utafikiri mizinga
Ni Fataki zinapigwa hapo maeneo ya Kisutu. Ndugu zetu wana shughuli yao pale tangu Jioni. Hata hivyo waliomba Kibali Polisi.

Nashauri wakiwa Wanategemea kufanya hizo Shughuli zao zinazoambatana na Fataki, basi siku nyingine wawe wanatoa Tangazo Hapa JamiiForums au hata Radio TBC Taifa au TBC1 ili kututoa hofu na kutuweka tayari, vinginevyo watakuja kuua watu kwa Presha.

Hii ya leo ni kubwa kuliko
 
Wakuu aliyoko kwenye eneo la tukio atu taarifu naona heavy gun fire exchange ni kama Alepo ,Mimi Niko kitandani kwa sasa mtujuze.
 
kuna sauti ya mizinga na mabomu mahali nilipo mimi(kinondoni) naisikia inatokea katikati ya jiji maeneo ya kariakoo, ilala au magomeni
 
Mi mwenyewe nasikia milipuko tu sijui nn kinaendelea
 
Kuna milipuko inalia tena hadi nyumba kutikisika nini kinaendelea maeneo ya ukanda wa bahari
 
Kama somo hapo juu lilivyo katikati ya jiji muda huu saa 12:12 ingawa vilanza kama nusu saa sasa.. milio mikubwa inasikika katikati ya mji
 
kuna mtu yuko Town kanipigia simu kuniambia hivyo. kwenye simu wakati tutaongea nilikua nasikia milipuko. mwenye kujua kuna nini atupe taarifa zaidi
 
Daaahh.. haya mabomuuuu Dar usiku huu ni nn tena..? maana ni muda yanaendelea, almost 30 mins mabomu mazito zito.... nn tena..?
 
Nipo taa za Tazara hapa pia nimesikia sauti kama ya bomu hivi
 
Back
Top Bottom