Mbona una wivu sana?Wote unaowaona dar wametoka mkoani, hizo ni makeup, mawigi, nguo nzuri nk.
Epuka kutapeliwa
Thibitisha.Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Umewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Mkuu hizo nyege zako tu zikiisha kichwa kikubwa kitafikiri vizuri.
Kweli kabisa mkuuNimezungukia vimikoa kadhaa ila Dar madem wengi ni wasafi sana.
Pia wanajua kujipamba na kujiremba.
Mikoani wanawake wa aina hii wapo ila sio wengi sana kama Dar.
Sio nyege Bali naongea ukweli mtupuMkuu hizo nyege zako tu zikiisha kichwa kikubwa kitafikiri vizuri.
Alafu wengi sura zao zimefanana
Na vimwili tufupi tufupi.
[/QUOTE
Sio wrote wengine warefu na mabonge ila wako safi sana aiiiseee
Mmmmhhh wewe tena ,,thibitisha tuoneUmewahi kuniona? Mimi ni mrembo,bongo hamna mwanamke mzuri zaid yangu
Hahahahaha sio wivu ila ukitaka kuoa utalazimika kusafiri mkoani kwenda kujitambulisha kwa wazazi easy like thatMbona una wivu sana?
Sasa kumbe ukishakojoa wakina trump kichwa kikubwa kitakuwa sawa[emoji23][emoji23][emoji23]kwaiyo kichwa kidogo ndokinachofanya kazi now[emoji23][emoji23]
Cc Kingsmann
Maisha ya mjini ni tofauti na mikoani, kijijini kazi ni ngumu na watu wanatumia nguo mbaya mbaya wakiwa kazini, ila huku kazi soft na watu wanapendeza muda wote. Hata kuwaona wamependeza ni kazi zao hizo na pochi yako inatafutwaSio nyege Bali naongea ukweli mtupu