wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,460
- 4,404
Mambo ya red lighst districts
dunia nzima haya mambo yapo...
unapaswa kuwa na eneo maalum ambako watu wanaweza kukesha na kupiga kelele usiku kucha
mchana kutwa....
sheria tulizo nazo zinasema pombe kuuzwa ni kuanzia saa kumi
na mwisho saa tano usiku....
sio kila kitu kupinga sababu ni Makonda kasema
hii idea ni nzuri
mkuu
zipo nightclub ni masaa 24 huduma zinatolewa na vibali wanavyo.