Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,995
- 25,338
Yah, gulio la baa
....
.....ha ha ha hizo kelele zitafika mpaka chalinze
Yah, gulio la baa
“Kinondoni nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda. Unakubaliana nayo hii au unaipinga??
Hivi,Hiyo ni kazi ya baraza la madiwani au mkuu wa wilaya?
hiyo ya kuwa na maeneo maalum ya kupiga kelele unavyotaka sipingi...turudi kwa kile kilicholetwa...je mipango miji wametenga hicho kitu kinachosemwa na makonda!siyo mtaalam wa maswala ya ardhi ila najua kuna maeneo ya biashara ndani ya maeneo ya makazi...kwa hiyo huwezi kuwa na makazi yasiyo na biashara kabisa!lazima ulabu tuupigie kitaa siyo tuufungie safari...ni mtizamo wangu!!Mambo ya red lighst districts
dunia nzima haya mambo yapo...
unapaswa kuwa na eneo maalum ambako watu wanaweza kukesha na kupiga kelele usiku kucha
mchana kutwa....
sheria tulizo nazo zinasema pombe kuuzwa ni kuanzia saa kumi
na mwisho saa tano usiku....
sio kila kitu kupinga sababu ni Makonda kasema
hii idea ni nzuri
“Kinondoni nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda. Unakubaliana nayo hii au unaipinga??
Hivi,Hiyo ni kazi ya baraza la madiwani au mkuu wa wilaya?
....Ingekuwa ni wazo linaloweza kutekelezeka ingekuwa ni wazo zuri, lakini kwa kuwa ni wazo lisiloweza kutekelezeka naona ni kama njozi za mchana. Kwanini nasema hivyo, huo mtaa uliopo kinondoni ambao hauna jengo uko wapi? je watu wa huo mtaa wote watakubali nyumba zao zigeuzwe kuwa bar? Na je wote wenye majengo eneo hilo wana uwezo wa kuendesha bar? Wazo kama hilo linawezekana kwenye maeneo ambayo bado ni mapori na inapotegemewa kujenga mji mpya na watokee watu wenye nia ya dhati na mipango madhubuti ya kutekeleza wazo hilo. Lakini hilo haliwezekani kwenye eneo kama kinondoni ambalo lote halimilikiwi na serekali, tena serekali isiyofanya biashara wazo kama hilo litekelezeke. Kama ni kweli Makonda kasema hilo kwangu mimi namuona bado anaongozwa na ujana na zile story za kwenye novel ilipojengwa miji ya kutengenezea filamu. Ama kwa maneno mengine njozi hizo asuburi awapigie wale warembo/michepuko yake kwani ili umpate mrembo inabidi umpigie hadithi za uongo ili kumchanganya.
Jamani Mwenye sindano ya kushonea katambuga aniazime kidogo
Kuna watu wataona kama makonda amekuwa kichaa, Lakini ukweli kuwa watakuwa hawajaishi nje ya tz,
Haya anayoyasema makonda Ndio utaratibu wa dunia nzima, Kila kitu Kila huduma zinasehemu zake maalum sio Kila sehem unaweza kufanya chochote bila kujali eneo
Mkuu umesema vizuri sana. Wengi wanapinga kwasababu Makonda ndio kasema,ila alichoongea kipo na ni sahihi.Mambo ya red lighst districts
dunia nzima haya mambo yapo...
unapaswa kuwa na eneo maalum ambako watu wanaweza kukesha na kupiga kelele usiku kucha
mchana kutwa....
sheria tulizo nazo zinasema pombe kuuzwa ni kuanzia saa kumi
na mwisho saa tano usiku....
sio kila kitu kupinga sababu ni Makonda kasema
hii idea ni nzuri
....Wazo zuri kwa majambazi watakuwa wanafunga mwanzo wa mtaa na mwisho halafu wanachukua chao bila taabu
Idea ni nzuri tena sana tu lakini wrong approach. Hivi vitu vinatakiwa viwe kwenye master plan ya City na vifuatwe. Sasa tukianza kuwaachia wakuu wa wilaya kila mmoja aje na plan yake itakuwa kizungumkuti. Anyways mimi nadhani njia rahisi kabisa la kutatua tatizo la Dar lingekuwa kuanza kujenga jiji jingine maeneo kama Bagamoyo huko. Kuna mahali tulikosea tukajenga holela sana na kila kitu kikawa zig zag kiasi ambacho kurekebisha itagharimu sana! Kuna siku nilikuwa napita maeneo ya Kinondoni A yale yaliyokuwa na National housing. Ni masikitiko na majuto! Zamani katikati ya kila nyumba kulikuwa na sehemu ya miti na bustani. Nyumba zilipangiliwa vizuri. Siku hizi watu wamejenga mpaka sehemu ya kuweka dirisha hamna. Na ni mchanganyiko wa nyumba eg mabanda ya kuku, nyumba za kupanga, bar na guest house, gereji, vijiwe vya madawa, yard za magari uffff. Sasa haya mambo kama wana dhamira ya kweli ni kufanya kwa pamoja na sio one man show...
Huyu jamaa mpumbavu sana.“Kinondoni nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda. Unakubaliana nayo hii au unaipinga??
Hivi,Hiyo ni kazi ya baraza la madiwani au mkuu wa wilaya?
Huyo makonda ni diwani?“Kinondoni nina mpango wa kutengeneza mtaa mmoja maalum wenye bar tu ili watu wakitaka kwenda kunywa pombe waende mtaa huo bila kubugudhi. Nasubiri muda tu ufike kwa sababu haiwezekani kila eneo liwe na bar mpaka nyuma ya misikiti na nyuma ya makanisa,” ameeleza Makonda. Unakubaliana nayo hii au unaipinga??
Hivi,Hiyo ni kazi ya baraza la madiwani au mkuu wa wilaya?
Wanataka kuleta mambo ya Rombo Kinondoni.nadhani sikubaliani nalo...hiyo tabia ya kutukushanya walevi wote sehemu moja halafu muanze kuvizia wake zetu hatuitaki...
hiyo ya kuwa na maeneo maalum ya kupiga kelele unavyotaka sipingi...turudi kwa kile kilicholetwa...je mipango miji wametenga hicho kitu kinachosemwa na makonda!siyo mtaalam wa maswala ya ardhi ila najua kuna maeneo ya biashara ndani ya maeneo ya makazi...kwa hiyo huwezi kuwa na makazi yasiyo na biashara kabisa!lazima ulabu tuupigie kitaa siyo tuufungie safari...ni mtizamo wangu!!
....
.....weee chupa zinakazi gani ikizingatiwa tuko kama eflu tano full bataliani
mkuu hili jiji Mjerumani alilipanga vizuri sana
akaja muingereza na Nyerere...kilichofuata baada ya hapo ni vurugu
kuna watu wanafikiri cinema hall ya kwanza ni mlimani city...
hawakuwepo hata enzi za drive in cinema....
kuna watu hawajui UDA zilikuwa na tiketi za mwezi mzima kama Europe tu....
hadi mabasi ya ghorofa kama ya UK yalikuwepo Dar