Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,433
- 289,701
naona kuna kambare mkubwa sana hapoMafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
naona kuna kambare mkubwa sana hapoMafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
ile ni flood plain ya mto msimbazi kwa mujibu wa mababu ule mto unahama hama na lile ndio eneo lake lote la kujidai sasa wameuzuia wanaulazimisha uwe na outlet moja tu haya ndio madhara yakeThink tanks za bongo eti hawakuwahi kuforesee kuwa hapo patajaa maji nyakati za mvua!!
Ikubukwe wakati wote tangu mkoloni. uhuru hadi Mwalimu hivi viwanja viliachwa wazi na Kajina walijenga yard ya muda kuweka tu vifaa. Alafu mtua anakuja na ile akili eti "ukijenga maji yatahama".
Cha kusikitisha ndio hawa hawa ambao leo wanafanya na maamuzi ya kesho yetu!
Mafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
Weka na ya watani wetu chura churaniMafuriko kituo cha Mwendokasi DarView attachment 1096198View attachment 1096199
Jiandae kisaikolojia. Hilo linakuja kutokea very soon.Rais atakempa makonda Uwaziri mkuu lazima atakuwa Lemuntuz
hizi barabara ni za,manispaa, zipo tamisemiHivi yule bw. anayetumbua watu kila kukicha si ndio alikua waziri wa barabara wakati hiyo barabara na hilo lijengo la mwendokasi.....
Inamaana hakuona hii kitu tangu awali???[emoji48][emoji48][emoji48]
Hapo zinahitajika mfugale ya haraka.
Zijengwe na wanajeshi!
Ndio utakapo jua wahandish wote tulio nao inabd warudishe vyet na kukaa tena darasaniThink tanks za bongo eti hawakuwahi kuforesee kuwa hapo patajaa maji nyakati za mvua!!
Ikubukwe wakati wote tangu mkoloni. uhuru hadi Mwalimu hivi viwanja viliachwa wazi na Kajina walijenga yard ya muda kuweka tu vifaa. Alafu mtua anakuja na ile akili eti "ukijenga maji yatahama".
Cha kusikitisha ndio hawa hawa ambao leo wanafanya na maamuzi ya kesho yetu!
Umesahau huyo bwana ndie aliyenunua hata ile meli aka kivuko cha bagamoyo na pia aliuza nyumba za serikali, jamaa katufelisha sana na sasa hivi ndio amezidi kututia hasara na ununuzi wake na ujenzi usio na tija.Hivi yule bw. anayetumbua watu kila kukicha si ndio alikua waziri wa barabara wakati hiyo barabara na hilo lijengo la mwendokasi.....
Inamaana hakuona hii kitu tangu awali???[emoji48][emoji48][emoji48]
Walipoanza kujenga hapo ndio nili prove mradi umefeli na matokeo yashatoka kitambo.H
Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
H
Hivi ni hasara kiasi gani Udart wanapata kwenye hizo gari zilizopark na kwa hakika zimeingia maji hivi tuna akili gani sisi watz?kwani ilikua lazima tujenge station hapo jangwani?Mungu aturehemu
Makonda atakuwa primier baada ya majaliwa.kama lemutuz atakukuwa waziri mkuu basi Kinje atakuwa waziri wa mambo ya nje wakishirikiana na Abdul.