Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Hapo nimejaribu kuwazoom raia wa kitaa ninao waona mkuuNimekuuliza tu hio takwimu yako umeipata wapi? Ukinipa mfano wa huyo kibarua ndio unawakilisha wakazi wote wa Dar? Ni sawa na mtu atumie mfano wa Bakhressa kusema Dar au Tz watu wanamaisha mazuri sana.
Ok.Hapo nimejaribu kuwazoom raia wa kitaa ninao waona mkuu
Asee hilo swali bado sijapata jibu lakini nawaona wanaishi ila naona siku zote mtu huishi maisha yake kuendana na kipato chakeUlishawahi jiuliza hizo hela zinatoshaje
Dar ni chuo,maisha yana changamoto sanaNilipomaliza mafunzo yangu ya kininja nilitamani kurudishwa Dar ili kiwe kituo changu cha kazi bahati mbaya sikurudishwa Dar nikaletwa mkoa unaolima mchele aisee huku nimejikuta nafaidi fursa nyingi mno tena ukija huku kijana uliepikwa na jiji la Dar huwezi kuteseka.
Watu wote hawawezi kuwa na kipato sawa.Hata mikoa vingine kupo hivihivi,uniambie wale wanaofanya kiwanda cha Tumbaku Alliance Morogoro wanalipwa shilingi ngap?Asee hilo swali bado sijapata jibu lakini nawaona wanaishi ila naona siku zote mtu huishi maisha yake kuendana na kipato chake
Mkuu kubali kataa asilimia kubwa ya wafanyakazi wa viwandani wanalipwa kiduchu wanafanya kazi kwa dhiki tu ili siku ziende na hawana pa kukimbiliaWatu wote hawawezi kuwa na kipato sawa.Hata mikoa vingine kupo hivihivi,uniambie wale wanaofanya kiwanda cha Tumbaku Alliance Morogoro wanalipwa shilingi ngap?
Hiyo ipo kote mkuu na ninakubaliana na wewe kuwa wanalipwa kiduchu.Na hiyo hela Huwa haitoshi hata kufika mwisho wa mwezi lakini maajabu hao watu wanavaa ,wamepanga,na wanacheza kitu inaitwa mchezo Kwa wadada.Haiwezekani watu wote kutoboa iwe Dar au mkoaniMkuu kubali kataa asilimia kubwa ya wafanyakazi wa viwandani wanalipwa kiduchu wanafanya kazi kwa dhiki tu ili siku ziende na hawana pa kukimbilia
Niambie mkoa mmoja ambao vijana wote au watu wote wametoboa nihamie Leo hii jioniMkuu kubali kataa asilimia kubwa ya wafanyakazi wa viwandani wanalipwa kiduchu wanafanya kazi kwa dhiki tu ili siku ziende na hawana pa kukimbilia
Kwa sasa mimi ni mkazi wa Mwanza , huku pia kuna maeneo ya walalahoi lakini Dar imezidi sasa nionyeshe maeneo ya ajabu ya mwanza halafu tulinganishe na ya DarNionyeshe mkoa ambao watu wake wanaishi maisha matamu nikuoneshe saiti zenye dhiki katika mkoa huo.
Kwa hiyo watu wote wahame Dar?**** ukweli flan kwa mtoa mada japo anabezwa sana ,
Binafsi nimezaliwa dar na kuishi hapo kwa zaidi ya miaka 30, mwaka 2015 nikajaribu kwenda mkoani kutafuta fursa , tokea muda huo naichukia sana dar , nikaja kujua kuwa nguvu niliyotumia kutafuta pesa na maisha kwa miaka vote hiyo kama ningekuwa mkoani nadhan ningekuwa mbali sana.
Hao wanaosema kuwa kukaa dar ni uanaume au ujanja , nadhan ni mob psychology, maendeleo hayaji kwa group , ni individual kind of a thing, kila mmoja anaangalia anaweza nn na si wenzake wanataka afanye nini. Just because bakhresa anakaa dar , haimaanishi kuwa na wewe unaeza kuwa kama yeye.
Mwanza mmakula mifupa ya Samaki (Mapanki) halafu unasema mpo juu,hakuna mkoa uliojaa Raha tupu Ila mkoa una maeneo mazuri na mabovuKwa sasa mimi ni mkazi wa Mwanza , huku pia kuna maeneo ya walalahoi lakini Dar imezidi sasa nionyeshe maeneo ya ajabu ya mwanza halafu tulinganishe na ya Dar
Nani kasema watu wote wahame dar ?Kwa hiyo watu wote wahame Dar?
[emoji106]Majitu ya Dar bhana!
Yaani tajiri namba moja inakuhusu nini wewe unayeishi Gongo la Mboto?
Viwanja vikali wakati unalala sebuleni kwa shemeji yako inakusaidia nin?
Mikoa hatuwasalimii shemeji zetu.....wanaume wa Dar wanagongea sigara kwa shemeji zao!