Elijah
JF-Expert Member
- May 28, 2012
- 1,663
- 416
Leo nimepanda kibasi kutoka ubungo,konda kasema tunaenda mwenge,kwa kuwa mimi ni mshabiki sana wa mwenge hasa unapokuwa unapita kijijini kwetu na ni muda mrefu siajuona,nikapanda kibasi,vuup hadi hapoa aliposema mwenge,lakini kila nikiangalia huo mwenge siuoni,nikasema si shida,nikaona tena konda mwingine akiitia posta,nikapanda basi,bahati nikafika na nikaiona posta,utapeeli mkuu ulikuwa aliposema posta mnazi mmoja,kwa kuwa kwetu bara minazi ni adimu,nikasema bsai nikauone huo mnazi,la haula,nimeshushwa sehemu hata huo mnazi hakuna,sasa nauliza,jama si utapeli huo??bora nirudi kijijini kwetu