dar imenishinda,narudi kijijini kwetu

Elijah

JF-Expert Member
May 28, 2012
1,663
416
Leo nimepanda kibasi kutoka ubungo,konda kasema tunaenda mwenge,kwa kuwa mimi ni mshabiki sana wa mwenge hasa unapokuwa unapita kijijini kwetu na ni muda mrefu siajuona,nikapanda kibasi,vuup hadi hapoa aliposema mwenge,lakini kila nikiangalia huo mwenge siuoni,nikasema si shida,nikaona tena konda mwingine akiitia posta,nikapanda basi,bahati nikafika na nikaiona posta,utapeeli mkuu ulikuwa aliposema posta mnazi mmoja,kwa kuwa kwetu bara minazi ni adimu,nikasema bsai nikauone huo mnazi,la haula,nimeshushwa sehemu hata huo mnazi hakuna,sasa nauliza,jama si utapeli huo??bora nirudi kijijini kwetu
 
nakushauri uende mbez jogoo pia utafurahi mwenyewe
 
ha,basi mmeshanipa tiketi ya kurudi kijijini kwetu
 
Nenda na Upanga....

Siku ukienda Zanzibar ndio utakaribishwa Makunduchi
 
achana nao matapeli hao wewe tembea zako kwa miguu hadi Mwananyamala kwa mama Zakaria ukifika mwambie Zakaria akuoneshe mwendesha bodaboda mwaminifu akupeleke kijito nyama ukakamue kiti moto na maji ya baridi toka mwenye kijito
 
Back
Top Bottom