sisi abiria wa wifi nae mambo safi......chakula nangulukulu.......samaki wakumwaga
linakwenda moshi nalo?
sisi abiria wa wifi nae mambo safi......chakula nangulukulu.......samaki wakumwaga
Na atapumzika kweli..watu wanapiga kazi yeye kajisahau...Meridian hawana ujinga huu,klm,kidia na buffalo ndo mpango mzima...yeye apumzike tu!mwacheni mzee mremi upumzike bana, ashaihudumia sana hii nchi katika kiwango cha juu kabisa kwa usafir wa basi. lisilo na mwisho ,mwanzo wake haukuwepo.
Voice of mtwara nadhani unazungumzia wale samaki wa buku, mpaka mia tano, haha, nangurukuru
ha ha ha umenikumbusha mbali sana...Chakito kama una presha lazima ufe huo mwendo sijapata kuona duh!!!
Dar express siku nyingi chaliiii. Kilimanjaro express ni zuri
We mwongo sana.Ni hotelgan ya njiani nzuri kuliko ya Dar express njia ya kutoka Dar-Arusha? Huna hata haya.