kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,493 Reaction score 18,387 Apr 11, 2013 Thread starter #41 kwamtoro said: Da noma kweli. Kaka yangu niliwasiliana naye yuko mwanza akaniambia atapanda ndege mda siyo mrefu kuja kwenye msiba. Mimi nikapanda daladala nikamkuta kisha fika kwenye msiba kiwalani ananikaribisha. Click to expand... Dar bana...
kwamtoro said: Da noma kweli. Kaka yangu niliwasiliana naye yuko mwanza akaniambia atapanda ndege mda siyo mrefu kuja kwenye msiba. Mimi nikapanda daladala nikamkuta kisha fika kwenye msiba kiwalani ananikaribisha. Click to expand... Dar bana...
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Apr 12, 2013 #42 stevoh said: duh! Angalia wana maspai wao hapa... Click to expand... Ukiwa na uwoga huu dar huwezi kuishi....Acha maisha ya wasiwasi #Dar Nyumbani/DSM
stevoh said: duh! Angalia wana maspai wao hapa... Click to expand... Ukiwa na uwoga huu dar huwezi kuishi....Acha maisha ya wasiwasi #Dar Nyumbani/DSM
Rural Swagga JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 1,643 Reaction score 1,177 Apr 12, 2013 #43 Husninyo said: karibuni mpwapwa jamani. hali ya hewa kama ya peponi. Click to expand... Hatujazoea hali hizo za hewa,,sisi tushazoea Dar yetu upepo ukipita tunafunga macho na kuziba pua...Dar Bhanaaa:crying:
Husninyo said: karibuni mpwapwa jamani. hali ya hewa kama ya peponi. Click to expand... Hatujazoea hali hizo za hewa,,sisi tushazoea Dar yetu upepo ukipita tunafunga macho na kuziba pua...Dar Bhanaaa:crying:
kiwatengu Platinum Member Joined Apr 6, 2012 Posts 19,493 Reaction score 18,387 Apr 12, 2013 Thread starter #44 Rural Swagga said: Hatujazoea hali hizo za hewa,,sisi tushazoea Dar yetu upepo ukipita tunafunga macho na kuziba pua...Dar Bhanaaa:crying: Click to expand... Dar bana....ha ha ha! nasikia hata Michael Jackson (r.i.p)! ye alivyotua tu bongo aliziba pua..
Rural Swagga said: Hatujazoea hali hizo za hewa,,sisi tushazoea Dar yetu upepo ukipita tunafunga macho na kuziba pua...Dar Bhanaaa:crying: Click to expand... Dar bana....ha ha ha! nasikia hata Michael Jackson (r.i.p)! ye alivyotua tu bongo aliziba pua..