kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
wakuu mnaona ninavyo wachezea akili wakenya....huyu dogo anayejiita depay badala kupost picha nzuri za jiji la nairobi ili azishindanishe na za jiji zuri la dar,amebaki kujibu post zangu...my clandestine plan is going well as I excepted....wanacheza mziki wangu....dapayyyyy are you there.....?