kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
nairobi after a 15 minutes rainfall.jiji la matope.Nairobi aka kidongo chekundu....lile jiji ukitaka ulichukie inyeshe mvua,matope yenye rangi inayokaribia na wekundu inasababisha mpaka barabara ya lami inabadilika na kuwa na rangi isiyopendeza machoni.
kuna mkenya mmoja swahiba wangu aliwahi niambia,geographically Nairobi ilitakiwa iwe eneo tengefu la wafugaji wa jamii ya kimasai.haikupaswa kuwa jiji kuu la kenya.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Remember Kenyas vision 2030 is already underway soo nyinyi endeleeni kuoga