Dar es Salaam: UKAWA kuchukua 75% ya majimbo

Hebu fanyia editing kidogo hayo makosa kijana, usiwe na kiherehere.

= Majimbo
= tajiri
= Jamaldin Mukadam
= nchi
msamehe tuu kwani hizo ni bangi wanazovutishwa pale ufipa na kuja kuzidhihirisha humu.
otherwise waache wajitekenye, wacheke mpaka mbavu ziwaume kumbe ni ujuha tuu
 
Hebu fanyia editing kidogo hayo makosa kijana, usiwe na kiherehere.

= Majimbo
= tajiri
= Jamaldin Mukadam
= nchi

msg sent and delivered wewe labda ukaishi na jk kwenye banda lake jipya msoga msoga:eyebrows: mwakani huna kibarua,masikini mama,kula bure kumefika kikomo
 
rosemarie kwa hiyo ukawa ni chadema na cuf tu? mbona nccr mmewapiga teke? hii inaonyesha ulafi na uchoyo mlionao wana chadema na kujipa matumaini hewa. kwenye majimbo yote hayo wenyeviti wengi walioshinda ni wa ccm sasa unategemea watwapigia kura ninyi? subiri oktoba au sikilizia wagombea wa ccm watakaosimamishwa uangalie kama haujaufuta uzi wako huu..nakuhakikishia kuwa hata hivyo viti mlivyopata tunaweza kuvichukua safari hii...tumekiri upungufu, tumejiamini. tumejiimarisha na hakika tutashindaQUOTE=rosemarie;12099794]UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.[/QUOTE]
 
Mkuu, mwiba unapoingilia ndipo unapotokea
Wewe wacha ushabiki wa Yanga na Simba hizo kazi za serekali ndio maana ukitaka kuzifanya lazima upate kibali serekalini.Mbowe jimboni kwake alinyimwa kutumia grader lake kutengeneza barabara kisa eti hizo ni kazi za serekali.Nyie kama mmeshindwa kuleta maisha bora bora muendelee kuiba.
 
Ukawa bado hatujatangaza lolote mpaka sasa.tulia dada
 
UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.

Hicho kigezo cha kufanya vizuri serikali za mitaa kiendelee hivyo mpaka Urais.
 
Umechemka sana,ila ni kwa nia njema keep the spirit high
 
Chadema na washirika wake hawatopata wabunge zaidi ya wawili dar! Na ni wazi kuna mmoja ya mbunge anaweza poteza jimbo alilo nalo!

Hapa umefanya wanacho fanya futuhi

Swahiba naona umerithi mikoba ya Sheikh Yahya...
 
Kumng'oa Mbunge wa Ilala Mh.Zungu sio rahisi hivyo, kunahitajika nguvu ya ziada.Matumaini hewa hayana nafasi.
 
rosemarie tangu lini umerithishwa mikoba ya marhum sheikh Yahya Hussein?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ni Lizaboni kweli....hebu pita na hiyo picha pale JANGWANI utajuwa kwa nini BATA ni mchafu
 
UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.

Mkuu ipo mwake.
 
pole sana kwa kushambuliwa na magwana wenzako. kosa lako hapa ni moja tu. umetaja majina mengine tofauti na majina ya magwanda. siku ingine usirudie kosa kama hutaki kushamguliwa na hawa wanywa viroba.

UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.
 
Huna information unakisia tu
Kawe anagombea Josephine Mshumbusi kama huna taarifa
 
Back
Top Bottom