Dar es Salaam: UKAWA kuchukua 75% ya majimbo

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,442
UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.
 
Mbona umekurupuka...Hayo majimbo nadhani umegawa wewe

CHADEMA wala NCCR bado hawajaanza process ya kupendekeza wagombea

Wewe umeyatoa wapi haya?
 
Nimewaweka watu hawa wawili nikiwa nahitaji kujua kuwa hawa wameteuliwa kwa sababu ya UTAJIRI wao au UWEZO walionao kuongoza jimbo?Nauliza hivi sababu kwa maandishi haya waweza kuzua mjadala mwingine kuhusu Chama.
 
Huu muda unaongahika na kura za JF ni bora ukatumia kuelimisha wananchi wa DAR wajiandikishe wakati utakapofika. Dar ina historia ya kutojiandikisha na ma Escrow ndiyo wanatumia upenyo huo kushinda
 
Mbona umekurupuka...Hayo majimbo nadhani umegawa wewe

CHADEMA wala NCCR bado hawajaanza process ya kupendekeza wagombea

Wewe umeyatoa wapi haya?
ana UKAWA yake huyo.
 
Mkuu hii taarifa yako umeitoa wap maana chadema bado hata mchakato haujaanza
 
UKAWA SASA KUCHUKUA MAJIMBO YOTE YA DAR-ES SALAAM WAJIPANGA KISAWASAWA

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.
Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.
Labda siyo dar es Salaam tunayoifahamu, ninachokiona ni UKAWA kupoteza hata hivi viti vilivyopo au walivyonavyo, tofauti iliyopo kati ya upinzani na CCM ni kwamba, upinzani wanapiga kelele tu na kudanganywa na idadi ya watu walio udhuria mikutano yao, wakati CCM japo mnawabeza lakini wamekuwa wakijikita kule ambapo tunajua kuwa ndipo wanapo patia ushindi
 
Mkuu hii taarifa yako umeitoa wap maana chadema bado hata mchakato haujaanza

kwi kwi kwi kwi kwi kwi tamko la CUF hilo huoni walivyojaa ha ha ha ha nimecheka sana UKAWA hauchukui round unapasuka
 
Wewe ni gamba tulia UKAWA hawajakaa kikao cha kuchuja wagombea
 
Nimewaweka watu hawa wawili nikiwa nahitaji kujua kuwa hawa wameteuliwa kwa sababu ya UTAJIRI wao au UWEZO walionao kuongoza jimbo?Nauliza hivi sababu kwa maandishi haya waweza kuzua mjadala mwingine kuhusu Chama.
Mkuu mtoa mada ameeleza kwamba mbali ya kuwa matajiri pia ni wanasiasa wasomi,hivyo kwa kuwa ni wasomi wazuri tunategemea pia sana uwezo WA kuongoza.
 
Mbona Chadema wamesema wanaweka wagombea majimbo yote ya Dar
 
Tatizo lenu ukawa mnawaza kukimbia wakati hata kutembea hamjaanza.
 
sijui lolote kuhusu mgawanyo wa majimbo bali ninao uhakika kwamba ccm itachakazwa vibaya sana Dsm , si kwa ubunge tu bali hata udiwani .
 
Monday, March 9th 2015

Taarifa zilizopo kutoka ndani ya Kamati ya ufundi inayongozwa na Makatibu wakuu wa vyama vinavyounda umoja wa UKAWA zinaonyesha mgawanyo wa Majimbvo hayo kutokana na nguvu za vyama iliyotokana uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UBUNGO limeangukia kwa JOHN Mnyika (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la SEGEREA limeangukia kwa JULIAS Mtatiro wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.
Jimbo la KAWE limeangukia kwa HALIMA Mdee (mb) wa CHADEMA akiwa anatetea nafasi yake.

Jimbo la KINONDONI limeangukia kwa ABDULLAH Kambaya wa Cuf mwanasiasa shupavu na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la UKONGA limeangukia kwa JOHN Heche wa CHADEMA mwanasiasa mpambanaji na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la KIGAMBONI limeangukia kwa JUMA Mkumbi wa Cuf mwanasiasa msomi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la ILALA limeangukia kwa JAMARDINI Mkadamu wa Cuf mwanasiasa msomi mwenyea asili ya kihindi na tajili kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

Jimbo la TEMEKE liimeangukia kwa ABDALLAH Mtorela wa Cuf mwanasiasa msomi na kijana kutokana na chama chake kufanya vizuri uchaguzi wa serikali za mitaa.

MGAWANYO HUU UMETOKANA NA MATOKEO YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati bado inaendelea kugawa majimbo mchi nzima kwa kutumia vigezo mbalimbali.
Tujipange kumuondoa mkoloni mweusi 2015 ni mwisho wa CCM tukajiandikishe kwa wingi.

‪#‎UKAWA‬
 
Back
Top Bottom