Kuntah Kinte
Senior Member
- Oct 25, 2013
- 133
- 49
Nitajiandikisha.
Kwani mnyika waziri wa maji mpk alaumiwe kushindwa kuleta maji acha kelele za chura wewe.Mnyika mwenyewe kakalia kuti kavu kutokana na kushindwa kutimiza ahadi yake ya kuwapatia maji wana Ubungo
moyo wako unajuwa ukweli uliyopo mbele yenu kele zako sawa na za timu ya yanga kabla ya kufungwa na simba dume!!Mnyika mwenyewe kakalia kuti kavu kutokana na kushindwa kutimiza ahadi yake ya kuwapatia maji wana Ubungo
Tehetehetehetehetehe! Usinifananishe na Yanga. Waliahidi kutupa mapemaaa kabla ya mchezomoyo wako unajuwa ukweli uliyopo mbele yenu kele zako sawa na za timu ya yanga kabla ya kufungwa na simba dume!!
Mkuu, hao chadema na ukawa yote hata mbunge mmoja hawataambulia DarChadema na washirika wake hawatopata wabunge zaidi ya wawili dar! Na ni wazi kuna mmoja ya mbunge anaweza poteza jimbo alilo nalo!
Hapa umefanya wanacho fanya futuhi
Mkuu, mwiba unapoingilia ndipo unapotokeaKwani mnyika waziri wa maji mpk alaumiwe kushindwa kuleta maji acha kelele za chura wewe.
Kwani mnyika waziri wa maji mpk alaumiwe kushindwa kuleta maji acha kelele za chura wewe.
Labda siyo dar es Salaam tunayoifahamu, ninachokiona ni UKAWA kupoteza hata hivi viti vilivyopo au walivyonavyo, tofauti iliyopo kati ya upinzani na CCM ni kwamba, upinzani wanapiga kelele tu na kudanganywa na idadi ya watu walio udhuria mikutano yao, wakati CCM japo mnawabeza lakini wamekuwa wakijikita kule ambapo tunajua kuwa ndipo wanapo patia ushindi
Mbona Chadema wamesema wanaweka wagombea majimbo yote ya Dar