Dar es Salaam To Dodoma.

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
kwa wanao hitaji vyakula freshi vifuatavyo weka oda mapema.
1.Maboga.
2.Mlenda mbata.
3.Mamung'unya.
4.mtama/uwele.
5.Mafuta ya alizeti ltr ni 2200.
6.Mafuta ya Ubuyu.
7.Ukwaju.
8.zambarau.
9.Fulu.
10.Ngwelu,udawi na zabibu.
 
Namba 8. leta kwa wingi pesa siyo issue kwani my Ex Bishanga ameahidi kurudisha mahusiano yetu ya kindoa.
 
kwa wanao hitaji vyakula freshi vifuatavyo weka oda mapema.
1.Maboga.
2.Mlenda mbata.
3.Mamung'unya.
4.mtama/uwele.
5.Mafuta ya alizeti ltr ni 2200.
6.Mafuta ya Ubuyu.
7.Ukwaju.
8.zambarau.
9.Fulu.
10.Ngwelu,udawi na zabibu.

kwa ulivyovitaja utakachoambulia ni ubuyu na zabibu na alizeti vingine msimu bado
 
Niandalie namba 7, najua inapatikana kwa wingi hapo..fanya kama viroba vi5 hivi.
 
kwa wanao hitaji vyakula freshi vifuatavyo weka oda mapema.
1.Maboga.
2.Mlenda mbata.
3.Mamung'unya.
4.mtama/uwele.
5.Mafuta ya alizeti ltr ni 2200.
6.Mafuta ya Ubuyu.
7.Ukwaju.
8.zambarau.
9.Fulu.
10.Ngwelu,udawi na zabibu.

Hapo kwenye namba 2. Nilipokuwa kijana mdogo mjomba wangu aliwahi kunidanganya. eti alikuwa kwenye 6 kwa 6, mashine ikagoma kutoka, mpaka akaomba msaada kwa mamkwe, akapewa mlenda akaupaka ndo mashine ikachomoka.
 
Alikupga kamba duuuh
 
kwa wanao hitaji vyakula freshi vifuatavyo weka oda mapema.
1.Maboga.
2.Mlenda mbata.
3.Mamung'unya.
4.mtama/uwele.
5.Mafuta ya alizeti ltr ni 2200.
6.Mafuta ya Ubuyu.
7.Ukwaju.
8.zambarau.
9.Fulu.
10.Ngwelu,udawi na zabibu.

Eh kumbe Zambalau zinapatikana na Dodoma,nimeishi hapo kama miezi sita lakini sikupata kuziona isije ikawa unaifananisha Dodoma na Tabora..
 
Back
Top Bottom