Dar es salaam streets

Dar es salaam streets

Mjusi Sharobalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2025
Posts
7,442
Reaction score
12,715
Watu wa Mikoani mtuache kidogo kwanza. Kwanza Tunapozungumzia Dar es salaamu, mjue tunazungumzia sehemu mbili tofauti.

1 - USWAZI na 2 - USHUANI. Binafsi kwangu Dar es salaam halisi ni USWAZI. Bila kupoteza wakati, wakali wa Dar es salaam tupeane muongozo wa mambo kazaa hapa. 1 - Eneo linaloongoza kwa uswazi wa kupitiliza. 2 - Kwa wajuaji wa mambo. 3 - Dada poa. 4 - Wapigaji wa jiji. 5 - Wazee wa viwanja, na sehemu nyingine maarufu jijini, wakuja wajifunze hapa.
 
Temeke imeharibika, mambo yote ya hovyo yanafanyika ndani ya wilaya hiyo, vijana wameharibika sana.
 
Back
Top Bottom