hapa ndipo tunapoaribikiwa zaidi na mentality za kijinga kama hizi. Hivi mjanja ndio anaishi maisha kama haya ya kuingilia kwenye madirisha ilihali gari ina mlango!!??? Chukulia huyo anayepanda ni dada/mama yako!?Si mahali pazuri kama wewe si mjanja wajanja tuache na dar yetu.
na hapa ndipo kila kitu kitazidi kuharibika wakuu, we are not united yet! matatizo kama haya mara utasikia: "wa mbagala hao", "gongo la mboto" lakini laiti tungelijua kuwa usafiri wa public ukiwa mzuri unawavutia hata watalii kuja nchini.
Hawa wanaoangaika ni wana-Dar es Salaam wenzenu, ni Watanzania wenzetu na wanalipa kodi (either direct or indirect).
JK alipo sema "maisha bora kwa kila Mtanzania" he never excluded those from Mbagala/Gongo la Mboto! Tuungane kuibana serikali ijenge/iboreshe miundombinu watu, dada zetu, mama zetu, baba zetu, nk waache kuteseka
kuna miji ya majirani zetu hapa nao hali ilikubwa kama sisi miaka 10+ lakini baada ya kukaa na kuona ukweli kuwa binadamu ni kiumbe anayestahili heshima wakaamua kubadilika. Hivi tunavyoonge wana matatizo ya usafiri lakini sio kama hapa kwetu.sio bongo tu kuna shida kuna kitu india huko ni noma
nashangaa kuna kundi kubwa lina angalia dirisha kama kwamba ndo mlango!!!!
Sumatra ikifika jioni huwa wanajificha?
kama nyumbu wanakula timing ya kuvuka mto Mara vile!nashangaa kuna kundi kubwa lina angalia dirisha kama kwamba ndo mlango!!!!
na hapa ndipo kila kitu kitazidi kuharibika wakuu, we are not united yet! matatizo kama haya mara utasikia: "wa mbagala hao", "gongo la mboto" lakini laiti tungelijua kuwa usafiri wa public ukiwa mzuri unawavutia hata watalii kuja nchini.
Hawa wanaoangaika ni wana-Dar es Salaam wenzenu, ni Watanzania wenzetu na wanalipa kodi (either direct or indirect).
JK alipo sema "maisha bora kwa kila Mtanzania" he never excluded those from Mbagala/Gongo la Mboto! Tuungane kuibana serikali ijenge/iboreshe miundombinu watu, dada zetu, mama zetu, baba zetu, nk waache kuteseka
aiss kiongozi!!huyu hayuko sawa huyu!!na tusipochukua hatua tutampoteza humu kwa siku kadhaa!!!vipi, uko sawa!?
nashangaa kuna kundi kubwa lina angalia dirisha kama kwamba ndo mlango!!!!
ukikutana na watu mitaani wanaongelea 'issues' kuna wengine wanakuwaga na sauti kubwa na kujaribu kuwashawishi wengine wakubaliane nao, tukipunguza idadi ya hao basi mijadala ya kuondoa matatizo inaweza kuwa na tija tofauti na sasa ambapo ni 'talk the talk but no walking...'aiss kiongozi!!huyu hayuko sawa huyu!!na tusipochukua hatua tutampoteza humu kwa siku kadhaa!!!
Sumatra ikifika jioni huwa wanajificha?