mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 21,859
- 19,700
Green Guard wanakatwa asilimia ngapi katika mchanganuo huu?-wamuombe tajiri wa marafiki EL awachangie,aki join forces na Rostam ishu hii ni ndogo tu wanai solve!!lakini jaman ni aibu sana Migodi ya dhahabu,makaa ya mawe,chuma,Tanzanite,Gesi mtwara,TANAPA,meno ya tembo(kinana),VAT,Simcard Tax+Obama visit in Tanzania bado serikali haijiwezi?-waiachie nchi wengine waongoze
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums