Huko pm ndio wapi?Njoo pm nikupe detail
weka hapa kila mmoja afaidiNjoo pm nikupe detail
Naomba kujua,
1. Chuo hiki campus yake iko wapi?
2. Kinachukua watu wa aina gani....
3. Day or boarding
4. Mwanafunzi raia taratibu za jeshi zinam- bind kwa kiasi gani
Kwahyo hii anasoma ata mwanafunzi wa kawaida ambaye sio askari auPale kuna course kama, criminal investigation ngaz ya NTA level4 hadi5, kuna kozi ya police science diploma, kuna law certificate ambayo ni tawi la udsm na kuna Medical lab science dip.
Aaah pale ad uwe askar kazn ndo unaenda kujiendelez mzeeyKwahyo hii anasoma ata mwanafunzi wa kawaida ambaye sio askari au
No hata kama sio askari waweza soma pale kwa kozi ambazo zinawezwa kusomwa na mtu hata ambaye si askari, na chuo hiki kipo chini ya Nacte na med school ipo under wizara