DAR ES SALAAM POLICE ACADEMY (REG/PWF/032) - Government Temeke Municipal Council - Dar es Salaam

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,311
73,855
Naomba kujua,
1. Chuo hiki campus yake iko wapi?
2. Kinachukua watu wa aina gani....
3. Day or boarding
4. Mwanafunzi raia taratibu za jeshi zinam- bind kwa kiasi gani
 
Iki chuo mkuu kinachukua askari aliye kazini kwa nia ya kujiendeleza katika taaluma za kijeshi mfano criminal investigation n.k nadhan nmeelewka
Naomba kujua,
1. Chuo hiki campus yake iko wapi?
2. Kinachukua watu wa aina gani....
3. Day or boarding
4. Mwanafunzi raia taratibu za jeshi zinam- bind kwa kiasi gani
 
Pale kuna course kama, criminal investigation ngaz ya NTA level4 hadi5, kuna kozi ya police science diploma, kuna law certificate ambayo ni tawi la udsm na kuna Medical lab science dip.
 
Pale kuna course kama, criminal investigation ngaz ya NTA level4 hadi5, kuna kozi ya police science diploma, kuna law certificate ambayo ni tawi la udsm na kuna Medical lab science dip.
Kwahyo hii anasoma ata mwanafunzi wa kawaida ambaye sio askari au
 
No hata kama sio askari waweza soma pale kwa kozi ambazo zinawezwa kusomwa na mtu hata ambaye si askari, na chuo hiki kipo chini ya Nacte na med school ipo under wizara
 
Back
Top Bottom