DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwa amiri jeshi mkuu hakosei?Uwe na akili.
Ulitaka wakalalamike kupinga amri ya Amiri Jeshi Mkuu?
Dar kila mtu mtafutaji ( wengine vibaka ila
😂 ) na ana maisha yake.
Tangu lini mshabiki watimu kama SAYVILLE akawa na akiliUwe na akili.
Ulitaka wakalalamike kupinga amri ya Amiri Jeshi Mkuu?
Dar kila mtu mtafutaji ( wengine vibaka ila
😂 ) na ana maisha yake.
Elimu yetu inazalisha maintellectual n sio maintelligence ili ukuze uchumi unahitaji kuwa na maintelligence kuwa intelligence hakuhitaji ukae darasani kupoteza mda ukasome masters uje uendeshe bodabodaMji uliojaa watafuta kazi kutokea Tanzania nzima si lazima wazurure hovyo.
.nchi ambayo mpaka miaka zaidi ya 60 ya uhuru haina mfumo wa wanaomaliza vyuo na shule waanzie wapi kujiandikishqnkihusi kazi.
Waajiri nao hawajui wakitaka wafanya kazi waende wapi.
Ukweli ni kuwa nchi yetu imejaa ujinga wa hali ya juu, hao walioaminiwa kuwa ni wasomi, hawajaelimika.
Leo faizfoxy umeongea Point. Kumbe ukitulia vizuri akili zinafanya KAZI.Mji uliojaa watafuta kazi kutokea Tanzania nzima si lazima wazurure hovyo.
.nchi ambayo mpaka miaka zaidi ya 60 ya uhuru haina mfumo wa wanaomaliza vyuo na shule waanzie wapi kujiandikishqnkihusi kazi.
Waajiri nao hawajui wakitaka wafanya kazi waende wapi.
Ukweli ni kuwa nchi yetu imejaa ujinga wa hali ya juu, hao walioaminiwa kuwa ni wasomi, hawajaelimika.
Yani kuwasema tu mashabiki wa utopolo kwamba ni wazurulaji ili mjirekebishe ndiyo inakuwa nongwa?Tangu lini mshabiki watimu kama SAYVILLE akawa na akili
Sijawahi kuona mshabiki wa simba ambaye yupo timamuHakika huyu dish limeyumba