Dar-es-salaam msituangushe

Dar-es-salaam msituangushe

Kesho ni funga kazi wenye pressure za kushuka(mafisadi) kaeni mbali
na wale wenye presha za matumbo wakae karibu na vyoo wasije wakaharibu kwenye ma vieks kwa ajili itakuwa kama ule uwanja wa kule kwa falaos sina imani kama jangwani panatutosha labda wengine tupelekwe viwanja vya magogoni
 
Back
Top Bottom