Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

Kwa huu ushindi wa Halima Mdee ni ushindi dhidi ya Mzee mnafiki Joseph Warioba kwani alijiingiza kwenye kampeni ili tu Mtoto wake spate ubunge kilichotokea ameambulia aibu na kwa sasa anabaki kutoheshimika na Watanzania

Haswaa...
 
Sasa Rasmi, ni Halima Mdee Kawe...Hongera Dada, baada ya uchaguzi mkae wote na mjipange kwa uchaguzi wa 2020, wewe Halima Mdee, Kubenea na Mnyika muwafundishe wenzenu jjinsi ya kulinda kura.....hongera sana
 
Tunaomba huu mtandao uboreshwe, ili tuweze kuweka sauti na video, pia picha tukiweka haifunguki.
Halima Mdee kidedea, hongera ukawa, kuna majimbo mengi ya cuf tumeporwa, hata Mdee ilikuwa hivyo
 
Hongera sana .......sururu la kawe peoplesssssss power viva UKAWA✌🏿✌🏿✌🏿
 
Back
Top Bottom