Dar es Salaam: Kwanini matokeo ya Ubunge hayatangazwi?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,347
Reaction score
26,153
Hadi muda huu,hakuna hata jimbo moja jijini Dar es Salaam lililotangaza matokeo ya Ubunge. Yote bado kuna ukimya.

Si Ukonga,Segerea,Kinondoni,Ilala,Temeke,Mbagala,Kigamboni,Kawe,Ubungo wala Kibamba kulikotangazwa. KWANINI hayatangazwi?
 
....

.....walikubali vyama vingi hofu ya nini ....Dar mlipo tupo !!!
 
Hadi muda huu,hakuna hata jimbo moja jijini Dar es Salaam lililotangaza matokeo ya Ubunge. Yote bado kuna ukimya.

Si Ukonga,Segerea,Kinondoni,Ilala,Temeke,Mbagala,Kigamboni,Kawe,Ubungo wala Kibamba kulikotangazwa. KWANINI hayatangazwi?
Waambie ndugu zako wakubali kushindwa. Ni hilo tu.
 
Mkuu uchelewaji huu ndio unaleta sintafahamu......jamani hapahapa Dar wakati ya mikoani tayari??? Mbaya zaidi unakuta vituo vimeshayahesabu, ukiuliza wanasema wanarudia kuhesabu....mmmmh.....
 
Tume wanafanya yao. Ninaomba sana UKAWA, jumulisheni matokeo kwa kutumia nakala za mawakala katika ngazi zote. Tume hii inachakachua mpaka basi na haitakiwi kuiamini bila kuthibitisha. Kama kuna sehemu mawakala hawajawapa nakala za nakala zao tafadhali fanyeni vile haraka iwezekanavyo or else tume hii siyo.

Ninasema haya kwa uchungu baada ya kusikiliza ITV alivyofanyiwa Wenje wa Nyamagana. Kwamba hadi wanafunga mahesabu, kwenye form za tume ambazo mawakala wote walikuwa nazo, Wenje alikuwa akiongoza kwa kura zisizopungua 4,000 Elfu nne mbele ya yule wa Ccm. Wakati wanasubiri atangazwe, kule kwa mkurugenzi kwa ubabe wakamtangaza wa Ccm eti kashinda.

Ninasikitika sana ninapoandika haya. Wenje akagoma kusaini na kutoa rai ya kuhesabu kura moja baada ya nyingine. La kuhuzunisha zaidi eti tangu asubuhi wanarudia kuhesabu kura hadi sasa hawajamaliza na hakuna kinachoeleweka.

Kweli hii ni tume ya kuamini wanahcokisema? Si kura za Madiwani, Si kura za Wabunge na zaidi sana Si kura za Raisi zinazotangazwa na tume zinatakiwa kuaminiwa hta kidogo bila kuthibitishwa.

UKIZINGATIA NA KITENDO CHA JANA CHA KUVAMIA TALLYING CENTER YENU ILI MSIJUE UHALISIA WA KILE KINATNGAZWA. NAOMBA SANA HILI MLICHUKULIE HATUA ZA HARAKA KABLA HAMJACHELEWA.
 
Majiji haya kuyaachia wanaona shida sana, Ona Nyamagana ilivyo!
 
Msijali Sumaye tayari yupo Mwanza kwa hili la nyamagana
 
Huyo Wenje wamemfanyia fair sana maana wamerudia kuhesabu kura zaid ya mara nne matokeo litmus paper remain unchanged in colour.
 
Hadi muda huu,hakuna hata jimbo moja jijini Dar es Salaam lililotangaza matokeo ya Ubunge. Yote bado kuna ukimya.

Si Ukonga,Segerea,Kinondoni,Ilala,Temeke,Mbagala,Kigamboni,Kawe,Ubungo wala Kibamba kulikotangazwa. KWANINI hayatangazwi?

kama bado kuna utata wa kuhesabu sasa wafanyaje au kama watu wanagomea na kulilia recount? Huu mfumo wengine tuliipigia kelele muda mrefu lakini kama watu hawajifunzi kabisa... This will change.
 
Haya ya ubungo nilivo ona tu mapolisi wakutisha utafikiri wapambanna na alshabab aisee there is mchakachuo no free and fair election
 
kama bado kuna utata wa kuhesabu sasa wafanyaje au kama watu wanagomea na kulilia recount? Huu mfumo wengine tuliipigia kelele muda mrefu lakini kama watu hawajifunzi kabisa... This will change.

Tatizo unafikiri una akili sana kuliko Watanzania wengine. Kila kitu ni wewe tu ulishawahi na kukipigia kelele. Ungetoa solutions basi!!
 
...ccm wanataka kuchakachua tu, hakuna la zaidi, sioni ni kwanini mpaka saa 4.30 usiku hawajatangaza matokeo ya hata jimbo moja?! hii Tume ni aibu kuu ya taifa letu.
#fake!!
 
...ccm wanataka kuchakachua tu, hakuna la zaidi, sioni ni kwanini mpaka saa 4.30 usiku hawajatangaza matokeo ya hata jimbo moja?! hii Tume ni aibu kuu ya taifa letu.
#fake!!

Msijali Sumaye tayari yupo Mwanza kwa hili la nyamagana

Ninatoa ushauri wa bure. Ndugu zangu UKAWA iweni macho na ucheleweshaji wa matokeo huu. Masanduku ya kura zilizopigwa na fake mengi yamekamatwa na wananchi aktika almost kila sehemu ya nchi. Yamepigwa tick kwa wagombea wa ccm.

1. Jifunzeni kwa Silinde wa Momba. Kura zinahesabiwa vituioni, masanduku ya kura fake yanaingizwa kwa mkurugenzi yaani kwa NEC ambao ni Watangazaji. Ninachokiona wanapochelewa kutangaza, wanafanya kulinganisha matoeko yawe in favor of wanayemtaka kwa kutumia hizo kura fake. Ndiyo maana wanachelewa kutangaza na wanapokuwa wamejirisdhisha wanamtangaza wanayemtaka wao kwa kiburi bila hat haya.

2. Inakuwaje waanze kuhesabu kura upya kwenye utangazaji wakati kura zimehesabiwa vituoni na mawakala wamesaini?

3. Kama hawatempi na kura, wanajuaje kwamba vituo vya kuhesabu vimekosea na mshidni anapaswa kuwa ccm if thy are not tempering with kura? Mandate ya kuanza kuhesabu kura na kuignore za vituoni hata bila mlalamikaji kabla hawajatangaza matokeo yaliyosainiwa vituon wanaipata wapi?

4. Ni mazingira gani wanalazimisha ku nullify hesabu za vituoni wakafanya za kwao? Ninaelewa kwamba kazi yao ni kujumulisha na si kuhesabu kura unless kuna malalamiko.

5. Wanapobadilisha matokeo yaliyosaniniwa wanakuwa wanajuaje kama kwa Wenje kwamba wahesabuji wamekosea idadi kadhaa za kura ndiyo maana Wenje kashinda?

BILA SHAKA KILA MAHALA PANAPOCHELEWA, MASANDUKU FAKE YANAJUMULISHWA ILI KUWAPA USHINDI CCM KINYUME NA MATOKEO YA VITUONI NA NDIYO MAANA YA YOTE HAYA.

UKAWA MSIKUBALI TUME IGUSHI MATOKEO KWA AMRI YA CCM KWA KUTANGAZA WASIOSHINDA HALAFU MKIRUDIA MNAKUTA KUNA KURA FAKE KAMA KWA SILINDE. KURA FAKE ZILIINGIA LINI KAMA SIYO HUKO KWENYE TUME WAKATI WAMEKABIDHIWA MASANDUKU WAYATUNZE WAO HUANZA KUCHAKACHUA NA KUBADILI MATOKEO.

HII NI LAANA KUBWA.
 
nasikia kawe walitaka kuchakachua now kura zipo ostybey zinahesabiwa lakini KWA majumuisho ya matokeo yaliyobandikwa kwenye vituo wanasema halima alikuwa anaongoza
 
Ukiona yanachelewa ujue CCM wameshindwa xo hawataki kutangaza wataka kufanya mission ya kuchakachua
 
Tatizo unafikiri una akili sana kuliko Watanzania wengine. Kila kitu ni wewe tu ulishawahi na kukipigia kelele. Ungetoa solutions basi!!

Icho kizee siku hizi watu wanakipotezea.. ukideal nacho kinakusababishia ban
 
nasikia kawe walitaka kuchakachua now kura zipo ostybey zinahesabiwa lakini KWA majumuisho ya matokeo yaliyobandikwa kwenye vituo wanasema halima alikuwa anaongoza

Huna uhakika kaa kimya.
 
Ninatoa ushauri wa bure. Ndugu zangu UKAWA iweni macho na ucheleweshaji wa matokeo huu. Masanduku ya kura zilizopigwa na fake mengi yamekamatwa na wananchi aktika almost kila sehemu ya nchi. Yamepigwa tick kwa wagombea wa ccm.

1. Jifunzeni kwa Silinde wa Momba. Kura zinahesabiwa vituioni, masanduku ya kura fake yanaingizwa kwa mkurugenzi yaani kwa NEC ambao ni Watangazaji. Ninachokiona wanapochelewa kutangaza, wanafanya kulinganisha matoeko yawe in favor of wanayemtaka kwa kutumia hizo kura fake. Ndiyo maana wanachelewa kutangaza na wanapokuwa wamejirisdhisha wanamtangaza wanayemtaka wao kwa kiburi bila hat haya.

2. Inakuwaje waanze kuhesabu kura upya kwenye utangazaji wakati kura zimehesabiwa vituoni na mawakala wamesaini?

3. Kama hawatempi na kura, wanajuaje kwamba vituo vya kuhesabu vimekosea na mshidni anapaswa kuwa ccm if thy are not tempering with kura? Mandate ya kuanza kuhesabu kura na kuignore za vituoni hata bila mlalamikaji kabla hawajatangaza matokeo yaliyosainiwa vituon wanaipata wapi?

4. Ni mazingira gani wanalazimisha ku nullify hesabu za vituoni wakafanya za kwao? Ninaelewa kwamba kazi yao ni kujumulisha na si kuhesabu kura unless kuna malalamiko.

5. Wanapobadilisha matokeo yaliyosaniniwa wanakuwa wanajuaje kama kwa Wenje kwamba wahesabuji wamekosea idadi kadhaa za kura ndiyo maana Wenje kashinda?

BILA SHAKA KILA MAHALA PANAPOCHELEWA, MASANDUKU FAKE YANAJUMULISHWA ILI KUWAPA USHINDI CCM KINYUME NA MATOKEO YA VITUONI NA NDIYO MAANA YA YOTE HAYA.

UKAWA MSIKUBALI TUME IGUSHI MATOKEO KWA AMRI YA CCM KWA KUTANGAZA WASIOSHINDA HALAFU MKIRUDIA MNAKUTA KUNA KURA FAKE KAMA KWA SILINDE. KURA FAKE ZILIINGIA LINI KAMA SIYO HUKO KWENYE TUME WAKATI WAMEKABIDHIWA MASANDUKU WAYATUNZE WAO HUANZA KUCHAKACHUA NA KUBADILI MATOKEO.

HII NI LAANA KUBWA.

...huu ukimya ni kutafuta namna yakuchomekea matokeo fake, ccm na tume ni mashetani kabisa.!
 
kama bado kuna utata wa kuhesabu sasa wafanyaje au kama watu wanagomea na kulilia recount? Huu mfumo wengine tuliipigia kelele muda mrefu lakini kama watu hawajifunzi kabisa... This will change.
slaa akiwa rais.au sio?
 
...kura za Kawe na Kinondoni bado zinaendelea kuhesabiwa katika kituo cha shule ya msingi oysterbay na biafra kinondoni respectively.
Matokeo yaliyotolewa kabla sio ya kweli.
#source: radio one.
 
Back
Top Bottom