Haya ndo matatizo ya kukurupuka kucoment bila kusoma mada, ebu soma mada afu coment upya
Mkuu huko ni pwaniHuenda ikawa amemaanisha kuna vijiji kama mikoa mingine au ni city tu mkubwq vijiji vipo vingi tu mkubwa mkuranga kimbiji msanga lugwadu na vingine vyote ni vijiji vya dar
Sogea sogea mpaka isakamawe huku mhola ngosha?We kama mkoa unalingana na kata mbili za kijima na misasi ambazo ziko kwetu huku missungwi unategemea nini?! Eti ukiwa magomeni kinondoni wilaya, ukifika tu boma ilala wilaya, ukienda tu mbele kidogo veta temeke wilaya. Wakati hapo kwa gari bila foleni ni dakika 3 tu.
Mhola wa ng'wiseSogea sogea mpaka isakamawe huku mhola ngosha?
Usipotoshe mkuu vitongoji vipo kwenye ngazi zoteMajiji hayana vijiji na vitongoji yana mitaa na Kata zake tu pamoja