Dar es Salaam kuna kijiji?

Dar es Salaam kuna kijiji?

Nataka kujua kama mkoa dar es salaam ilipo ikulu,wanapoishi yanga na Simba,jiji lenye stendi ya mikoani.
Je kijijini wapi dar?au hamna kijiji?

Tandale kwa Mtogole (kwao na Diamond), Mbagala, Kinondoni Moscow, Sinza Palestina (kijiji cha wajanja), Tandika, yaani orodha ni nyingi mno.
 
Mkuu mbagala si kijiji,sinza si kijiji
 
Kijiji cha kijitonyama,mimi napendelea sana kwenda vijiji kama Posta,Kariakoo,Mikocheni na kijiji cha Msasani Penisula
 
We kama mkoa unalingana na kata mbili za kijima na misasi ambazo ziko kwetu huku missungwi unategemea nini?! Eti ukiwa magomeni kinondoni wilaya, ukifika tu boma ilala wilaya, ukienda tu mbele kidogo veta temeke wilaya. Wakati hapo kwa gari bila foleni ni dakika 3 tu.
 
Nataka kujua kama mkoa dar es salaam ilipo ikulu,wanapoishi yanga na Simba,jiji lenye stendi ya mikoani.
Je kijijini wapi dar?au hamna kijiji?

maeneo yote ya uswazi Dar ndo kijijini yenyewe hiyo maana kule mpaka utumbo wa kuku unaliwa!!!!
 
Kiranga na Nyani Ng'abu mpaka sasa sijapata majibu kwamba je dar es salaam kuna kijiji? Na ni wapi?
 
Last edited by a moderator:
Nataka kujua kama mkoa dar es salaam ilipo ikulu,wanapoishi yanga na Simba,jiji lenye stendi ya mikoani.
Je kijijini wapi dar?au hamna kijiji?

kijiji cha kariakoo, kijiji cha ilala, kijiji cha oysterbay, kijiji cha mikocheni n.k
 
Kiranga na Nyani Ng'abu mpaka sasa sijapata majibu kwamba je dar es salaam kuna kijiji? Na ni wapi?

Geza Ulole mama, Geza Uloleeee
Kwenye kijiji cha Mwanadilato mamaaeee, kwenye makao mapyaaa
Geza Ulole maamaa, Geza Uloleee
Geza Ulole mamaa, Geza Uloleee

Cc Gezaulole
 
Last edited by a moderator:
We kama mkoa unalingana na kata mbili za kijima na misasi ambazo ziko kwetu huku missungwi unategemea nini?! Eti ukiwa magomeni kinondoni wilaya, ukifika tu boma ilala wilaya, ukienda tu mbele kidogo veta temeke wilaya. Wakati hapo kwa gari bila foleni ni dakika 3 tu.

Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.
 
Kimbiji,kidagaa,kitomondo,puna centre,pemba mnazi....!!vyote ni vijiji vipo temeke.
 
Kijiji cha wavuvi Mbweni,kijiji cha Mabwe pande,Msasani Village,Mwenge kijijini,kijiji cha makumbusho,kijiji cha Mvuti....to name a few!
 
Ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.

Huo mfano wako wauna maana katka hili, elewa kwamba mkoa wa dar ungekuwa mkubwa kama mikoa mingene vijiji vingekuwepo vingi tu, mfano jiji la mwanza ambalo ni wilaya ya nyamagana na ilemela(manicipal) ingekuwa ndo unahesabiwa mkoa vijiji vingetoka wapi? Lakin sasa ukitoa ilemela na nyamagana (jiji) kuna sengerema, ukerewe, magu, kwimba, missungwi ambapo ukubwa wa kwimba ni zaidi ya mkoa wa dar.
Mkulanga na bagamoyo ingekuwa sehemu ya dar ingekuwaje?
 
Mambo kimtandao mtandao tu siku hizi.

Mkoa mkubwa unaweza kuwa hauna deal, kisehemu kidogo tu kama Singapore, Manhattan au Hong Kong zikawa na deal kibao.

Acha kuishi kwenye zama za mawe.
 
Haya ndo matatizo ya kukurupuka kucoment bila kusoma mada, ebu soma mada afu coment upya
 
Back
Top Bottom