unanichanganya
Huenda ikawa amemaanisha kuna vijiji kama mikoa mingine au ni city tu mkubwq vijiji vipo vingi tu mkubwa mkuranga kimbiji msanga lugwadu na vingine vyote ni vijiji vya dar
mkuranga na kimbiji vipo ndani ya dar?
Nataka kujua kama mkoa dar es salaam ilipo ikulu,wanapoishi yanga na Simba,jiji lenye stendi ya mikoani.
Je kijijini wapi dar?au hamna kijiji?