Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,263
- 17,139
Ile barabara naipenda sana ukitoka huko juu ni speed mwanzo mwisho kuteleza tuuuuu tena pale bondeni ndio pazuri zaidi.
Onyo:
Mwendo kasi waweza kukuua au kuua wengine au kuhatarisha maisha ya wengine.
Kama unafurahi barabara ya kiwango cha chini hivi sasa ukitembelea kwa wenzetu hata hapa jirani Nairobi itakuaje? Kwa maoni yangu hii barabara ni ndogo na nyembamba yenye hadhi ya miaka 20 iliyopita.
Unapanga kujenga bandari na Viwanda Bagamoyo na Stand kubwa ya Mabasi Boko unajenga kibarabara cha lanes 2 hiyo akili kweli? Hakuna service road wala Taa hii ni barabara ya mjini ama vijijini? Tatizo kubwa tulilo nalo wengi wetu ni washamba na watawala ni washamba na masikini wa akili.
Wewe siyo mzima barabara wanasema imejengwa kwa kiwango cha hali ya juu sana bora nyamaza tu.Kama unafurahi barabara ya kiwango cha chini hivi sasa ukitembelea kwa wenzetu hata hapa jirani Nairobi itakuaje? Kwa maoni yangu hii barabara ni ndogo na nyembamba yenye hadhi ya miaka 20 iliyopita.
Unapanga kujenga bandari na Viwanda Bagamoyo na Stand kubwa ya Mabasi Boko unajenga kibarabara cha lanes 2 hiyo akili kweli? Hakuna service road wala Taa hii ni barabara ya mjini ama vijijini? Tatizo kubwa tulilo nalo wengi wetu ni washamba na watawala ni washamba na masikini wa akili.
Wewe siyo mzima barabara wanasema imejengwa kwa kiwango cha hali ya juu sana bora nyamaza tu.
Pro-Chadema na viongozi wake wakiona hivyo basi roho zinawauma.