Dar es salaam: Kikwete kufungua barabara ya Mwenge - Tegeta

Dar es salaam: Kikwete kufungua barabara ya Mwenge - Tegeta

CHAKA CHUWA

Member
Joined
May 26, 2011
Posts
69
Reaction score
10
Rais Jakaya Kikwete hivi sasa yupo njia panda ya kawe akifanya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge - Tegeta yenye urefu wa km 12.
<font size="3">

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine

Sehemu ya barabara ya Mwenge-Tegeta yenye urefu wa Km 12.9, ambayo ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada wakikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi wengine.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mbunge wa Kawe Mhe Halima Mdee baada ya ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Chanzo:Michuzi
 
Last edited by a moderator:
Sasa anaongea mwakilishi wa jica. Anatoa salamu watu wengi saana
 
Mc mavunde anatafsiri hotuba ya mwakilishi wa jica.sasa anaonge balozi wa japan akoda na anatumia kiswahili
 
hiyo Barabara imejengwa chini ya kiwango

muda siyo mrefu wataifumua tena

R.I.P ccm
 
Balozi akoda. Anaendelea na hotuba yake wa kuipongeza wizara ya ujenzi,tanroads na wadau wengine wote wa. Barabara anazungumzia sasa ujenzi wa barabara ya mwenge - Morocco wanataka waanze Kazi mara balozi pia anazungumzia ujenzi wa barabara ya kurasini nayo wanataka waanze ujenzi.
 
Rais wa jamhuri ya muungano anafungua barabara!kazi ya mamlaka ya Tanganyika hizo,Rais anaweza kudeal na criticaln issues
 
Balozi anaendelea na hotuba yake kwa kuwapongeza watanzania kwa uvumilivu. Wakati wa ujenzi wa barabara kamaliza kuongea
 
Ila wanatoa baadhi ya projects kwa kampuni ambazo hazi zingatii HAKI na MASLAHI, ya mfanyakazi MTANZANIA badala yake wanalipana wao (wageni) pesa nyingi na marupurupu kibao, mfano mzuri ni kampuni inayojenga barabara za mwendo kasi STRABAG, hawa ni wanyanyasaji wakubwa hawana sheria zinazo simamia usalama mahala pa kazi, mishahara wanayolipwa WAZAWA ni kiduchu, na wanajigamba huwezi kwenda popote ukasikilizwa kwa kuwa viongozi wote wa serikali wamewaweka kiganjani
 
Sasa anapanda jukwaani mkuu wa mkoa wa dsm mhe. Said mecky sadiki anaongea
 
Hili la kika barabara kufungua Kikwete is wastage of resource!
 
Mkuu wa mkoa anasisitiza barabara ya mwenge hadi Morocco ianze kujengwa haraka
 
Tabu tu na kutusababishia mafoleni na barabara zenyewe za kuchakachua hizi.......
 
Mkuu wa mkoa anaomba barabara ya kutoka wazo hill Goba itaafutiwe fedha
 
Ile barabara naipenda sana ukitoka huko juu ni speed mwanzo mwisho kuteleza tuuuuu tena pale bondeni ndio pazuri zaidi.
Onyo:
Mwendo kasi waweza kukuua au kuua wengine au kuhatarisha maisha ya wengine.
 
Mkuu wa mkoa anamaliza kwa kushukuru japana kupitia jica kwa kazi nzuri na wasichoke.mkuu wa mkoa anaomba wale wote wanaharibu miundombinu ya barabara kuacha mara moja Kuwait huu Si uungwana kabisa katolea. Mfano barabara ya drt
 
Sasa kapanda jukwaani Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi Eng. Mussa Iyombe anatoa hotuba yake kwa mhe.rais kwa niaba ya waziri wa Ujenzi mhe.magufuli ambae leo anahudhuru
 
Haaaaaa...wewe acha kabisa......na pale njia panda ya bahari beach....
Ile barabara naipenda sana ukitoka huko juu ni speed mwanzo mwisho kuteleza tuuuuu tena pale bondeni ndio pazuri zaidi.
Onyo:
Mwendo kasi waweza kukuua au kuua wengine au kuhatarisha maisha ya wengine.
 
Back
Top Bottom