Dar Es Salaam italia kilio kizito sio muda mrefu...

Dar Es Salaam italia kilio kizito sio muda mrefu...

haziwezi kufikia asilimia 80%. hii ni nyingi sana.
 
Mbona kila mtu anayekuwa quoted naona ana avatar sawa na yangu?!
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk

acha tulie lakini watakaokuja watafurahia mpangilio unaoruhusu miondo mbinu kupangika
 
Mafuriko mwaka juzi walikufa zaidi ya watu 100. Mimi hilo zoezi naliunga mkono as long as hakuna mtu anapoteza maisha...
hAKIKA UMENEnA kWa sAbAbU watu HaWA hawaaminiki wanachokitaka wakiachwa wakasombwa na maji malalamiko wakijunjiwa wanalalamika bora hasara kuliko lawama.
 
Hivi dar ukitaka kujenga kuna kweda kuomba kibali kweli? Watu si huwa wanajijengea tu?
 
kwaiyo ndo kusema wakaz wote ao waende reserve ya mwabwepande au warud mikoani... apo mh sana waziri atusaidie mana ni wengi ati.
 
Hapa ndipo shida kubwa ya Serikali inayojiendesha kwa Kauli hewa na viongozi kupeleka Sura tupu kwa Umma badala ya kufanya kazi kimfumo.

Ni wangapi wamekwisha ona hizo wanazoita City plan?
Haya Macity Master Plan za Makabatini ?
Wanashidwaje hata kuweka alama za Miundo mbinu kama Barabara na mfumo wa majitaka ?
Miaka 16 iliyopita walikuwa wapi?.

Kwanza Sheria ya awali ilikuwa Sheria Mbovu ya ardhi na ndiyo maana lifumuliwa ili iwe sheria shiriki kwa maana ya wamiliki nao kuwa sehemu ya michakato.Sasa hivi hadithi za 1999 sijui inaingiaje humu?
Wataalaumu wa Sheria pengine watasaidi kulikweka sawa!

Nakubaliana na wewe.
Huu ni uhuni wa hali ya juu.

Serikali haiwezi kukaa bila master plan kwa miaka 16, na wote waliojenga wamepewa huduma muhimu za maji (safi na taka), umeme, afya etc na serikali halafu leo wanafyatuka kuwa ni makosa.
Hapo wataisoma namba.

Huko ni kutumia mabavu na kuwachokoza wananchi wanyonge.
 
Naam! Wanayo kesi ya kujibu kwa wananchi!
 
Kutumbua majipu kunaendana na maumivu kwa anayetumbuliwa. Ila mwisho wa siku ndo tiba inapatikana. Tuvumilie tu. neema yaja

Sawa kiongozi ila wakati ukifika usijetualika tukusaidie kulia
 
FONT KWENYE HUU MUONEKANO MPYA NI NDOGO SANA AISEE, NYIE MNAONAJE? BACK TO THE TOPIC KUBOMOLEA WATU WENGI NYUMBA HIVYO ITABIDI MUWALIPE KAMAMLIKUA HAMJAWAPA TAARIFA, NYUMBA 8000 WOTE WALIKUA WAMETAARIFIWA ALAFU WAKALAZIMISHA KUJENGA???

Ni kero, naona kwa taabu sana..
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk

Kuna haki inafinyangwa.Kila mtu analalamika hapa ...nendeni Mahakamani iwapo munaonewa..sheria ya Ardhi ilikuwa na retorspective effect kwenye maeneo amabayo watu hawakuingia kihalali lakini baadaye wakarasimishwa na serikali kama ulipaji wa leseni za makazi ni moja ya njia ya kulishughulikia hili..hawa jamaa wanatafuta masifa..mukiendelea kulalamika watabomoa kweli take action/
 
sisi waafrika tuna shida kubwa sana ya mipango hasa viongozi wetu sijui kwa nini hawajadili kwa pamoja jambo yaani baraza likae la mawaziri pia bunge likae madiwani wakae tuwe kitu moja ss hivi kila mtu lake ndio maana hakuna linalo kamilika tunaenda hatua 5 tunarudi kumi nyuma kila kitu hovyo
nyerere alituachia viwanda ndege tren meli mhhh vyote tuliviuza kwa wahindi baadhi wamevibomoa na kuvipeleka kwa wenye akili yaani sisi bure kabisa

ile mashine ya kupima mji inaitwa total station haifiki million mia ina maana hata miji inayokuwa sasa serikali inatakiwa kununua 10 leo 10 next year
wafanyakazi wapo kibao ila deal tu
 
Swali ni kwamba; serikali ilikua wapi hadi watu wote hawa wanajenga nyumba kiholela? Na sasa kinachowafanya wabomoe ni kitu gani? Nani atabeba mzigo huu?
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk
Safi waisome numbar

swissme
 
Hivi Lukuvi ni nani hata atutie presha na kutukosesha usingizi wananchi halali milioni 3.6 wa jiji hili? Hii ni kutiana hofu ili tuuze viwanja vyetu kwa presha eti kisa havijapimwa.., hatuuzi ng'o na nyumba hamvunji coz tunajua hamna fidia..!
 
Kutokujua sheria si kigezo cha kuvunja sheria. Waliojenga maeneo hatarishi,open space nk. Wote wametenda kosa kwa mujibu wa sheria. Huwezi kutafuta hela kwa hasho halafu ukose umakini wa kuzitumia. Me naishi dar na nimejenga lkn moja ya mambo muhimu niliyozingatia wakati wa kununua ni kupata uhakika wa eneo hilo. Hayo ni majipu tu na lazima yatumbuliwe!
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk
Hakuna tatizo, as long as master plan itafuatwa vizuri, na linaanza jengo la Tanesco Ubungo
 
Hayo yote ni Majipu.... Inabidi yakamuliwe...
 
Hivi Lukuvi ni nani hata atutie presha na kutukosesha usingizi wananchi halali milioni 3.6 wa jiji hili? Hii ni kutiana hofu ili tuuze viwanja vyetu kwa presha eti kisa havijapimwa.., hatuuzi ng'o na nyumba hamvunji coz tunajua hamna fidia..!

Hapa Kazi Tu..

Subiria utaisoma namba... Ukipata boya wa kumshikisha uza achana na presha.
 
Back
Top Bottom