Dar Es Salaam italia kilio kizito sio muda mrefu...

Dar Es Salaam italia kilio kizito sio muda mrefu...

Mhhhhh hili zoezi linipitie mbali tu,sitaki headache mimi.
 
FONT KWENYE HUU MUONEKANO MPYA NI NDOGO SANA AISEE, NYIE MNAONAJE? BACK TO THE TOPIC KUBOMOLEA WATU WENGI NYUMBA HIVYO ITABIDI MUWALIPE KAMAMLIKUA HAMJAWAPA TAARIFA, NYUMBA 8000 WOTE WALIKUA WAMETAARIFIWA ALAFU WAKALAZIMISHA KUJENGA???
 
kwa dar wanalipa kisasi kwa kuwanyima kura. wanasiasa walisema hii miaka mitano dar itateseka sana
 
Hii ishu ya bomoabomoa itaua wengi kwa magonjwa ya moyo.
 
Kwa muda tulio nao inatakiwa hali iwe "Business Unusual". Waliosababisha makazi holela kutokea wawajibishwe inavyopasa.
 
Kwa muda tulio nao inatakiwa hali iwe "Business Unusual". Waliosababisha makazi holela kutokea wawajibishwe inavyopasa.
Hilo ndio LA muhimu. Sio kuwawjibisha waliojenga tu huku wale walioidhinisha wakiachwa tu
 
Kama maeneo yalitengwa kwa sababu yana wenyewe:
1. Mbona wakati watu wanajenga wenyewe na ardhi walikaa kimya?
2. Wasimamizi wa manispaa idara ya ardhi kila kona ina wakaguzi walikuwa wanafanya kazi gani?
3. Walioshindwa kuwajibika hadi haya yakatojea wataajibika vipi kwa watanzania?
4. Haya yakifanyika ni kwa manufaa ya nani?
5. Watanzania tukubali wameonewa kwa kukosa taarifa kamili juu ya haya, kitu ambacho ni haki yao, je watasaidiwa vipi na Serikali yao?
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk

Wakuu,

Badala ya kubomoa majengo ambayo tayari yamejengeka tena mengi yao kwa kufuata sheria, kwa nini Serikali na uongozi wa Jiji usifikirie modern satellite cities -mfano maeneo ya Mkuranga, Kisarawe, Bagamoyo na Kibaha ? Kwa nini DSM isiendelee kubaki na umuhimu wake na vielelezo vyake vya kihistoria? Fikiria madhara ya kijamii, kiuchumi, kisiasa nk ambayo yanaweza kutokana na bomoa bomoa hiyo. Mabadiliko hayatapatikana kwa kuendelea kufikiri ndani ya boksi !
 
Hapa inabidi watanzania tutulie sana, majipu yatumbuliwe tu , lakini nimewaza nikaona ni vema jipu kubwa ambalo limetufikisha hapa bila kuwasimamia wananchi wapi wajenge na wapi wasijenge ni chama cha Mapinduzi chenye serikali kwa miaka yote.

Rais wangu Dr. Magufuli nakupongeza kwa juhudi kubwa unazofanya kwa watanzania, natambua hizi ni juhudi zako binafsi kwa mapenzi uliyonayo kwa watanzania. Lakini usisahau wananchi pia tunasubiri muda ufike tutumbue jipu ambalo ni ccm kutufikisha hapa! Haiwezekeni ccm ikaendelea kupeta kwa kuwasababishia hasara wananchi kiasi kikubwa namna hii wakati wao walipaswa kuwatumikia wananchi na kuwaelekeza wapi wajenge! Jipu la mwisho ni Ccm lazima itumbuliwe hata tukibaki na Dr Magufuli peke yake potelea mbali.
 
sawa bwana. hakuna shida. mimi nimekubali bomoeni tu nyumba yangu ili mpate sifa mnayotaka.
 
Mafuriko mwaka juzi walikufa zaidi ya watu 100. Mimi hilo zoezi naliunga mkono as long as hakuna mtu anapoteza maisha...
Mkuu, nadhani wewe bado unazungumzia habari za nyumba za mabondeni. Sio hiyo, inayozungumzwa hapa ni habari nyingine mpya. Jiji linabomolewa kutokana na master plan mpya kuibuliwa, sio kutokana na kuishi mabondeni au kuvamia viwanja vya wazi, bali ni kwamba kama unaishi out of city plan, nyumba yako inapigwa chini bila kujali kuna mafuriko au upo kilimani kusiko na mafuriko
 
Mimi ndo nashindwa kujua hapo kweli watu mnasema wamejenga kiolera ndio lakini walio toa mamlaka ya kujenga ni wakina nan na awa wengine kama tenesco dawasco wanashiliki VIP kupeka hizo uduma za kijamii wakati wanajua hayo maeneo si salama now wanawabomolea watu Nyumba kiorela jenga mji mpya watu wahamie huko na huu ubaki Ulivyo panua mji usiganganie hapo tu tanzania nikubwa mno jaman
 
Unasema mbezi ni eneo la viwanda,unamaanisha mbezi ipi hiyo?

Ni Mbezi ya pwani: kuanzia tangi bovu hadi huko baharini hadi kona ya Africana, wote hao wataisoma namba!!!

Majanga.jpg
 
kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sizan kama kunamtu atalipwa fidia.

Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangy 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.

sasa dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.

Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .

kinondoni hananasif tayar 8000 on the list
mbezi eneo la viwanda
tabata eneo la wafanyakazi
mwenge
sinza
kinondoni Biafra
nk
NAUNGA MKONO HATUWEZI KUJIVUNIA KWA KUWA NA MJI USIO NA MPANGILIO HONGERA MAGUFURI RAIS WANGU,HONGERA LUKUVI WAZIRI WANGU/
SHERIA NDIO MSINGI MKUU TUNAOUFUATA /
Yasipo fanyiwa KAZI leo / KIZAZI CHA KESHO KITATUTUKANA KWA UZEMBE HUU.
 
Back
Top Bottom