assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Kwa anachokisema Lukuvi, kama hakitaangaliwa in and out, wallah watu watalia, 80% za nyumba zitalala chini na sidhani kama kuna mtu atalipwa fidia.
Vyombo vya habari vimekaa kimya, social media zimetulia lakini tangu 1999 mpaka Leo zimejengwa mamilioni ya nyumba.
Sasa Dar itageuka nyumba ya maombolezo just watch.
Naomba suala hili lifanywe kwa umakini na si kwa mhemko wa kisiasa .
Kinondoni hananasif tayari 8000 on the list
Mbezi eneo la viwanda
Tabata eneo la wafanyakazi
Mwenge
Sinza
Kinondoni Biafra
nk

Last edited by a moderator: